Hapo mie naona ng'ombe, mnara na kama mtoto kasuka yupo chini ya mnara!! Au macho yananidanganya?Hivi huyo aliyechorwa unamfaham au unakisia kuwa ni nani?.
But kila zama na kitabu chake, ndivyo mtu anaweza kujibu. Now wanasifia na kuchora kwa njia nyingine.
Kwani kamfananisha na nani?Mkuu ila kweli kumfananisha mtu na ng'ombe kisa siasa ni haki?
Sasa ungemjuaje asemwae!?Kwanini asichore bila kuweka taswira ya ng'ombe?
Call a spade a spadeHivi huyo aliyechorwa unamfaham au unakisia kuwa ni nani?.
But kila zama na kitabu chake, ndivyo mtu anaweza kujibu. Now wanasifia na kuchora kwa njia nyingine.
Kwani ng'ombe ana shida gani?Kwanini asichore bila kuweka taswira ya ng'ombe?