Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Unaweza kunieleza kwanini silaha zilizooneshwa leo pale zinafaa!?
kwa sababu ndio zinazoendana na majirani na mazingira yetu pia. Stealth fighter za kaz gani bongo hii? Intercontinental ballistic missiles za Nini Africa hii? Kifaru Cha kisasa kabisa unatumia wapi kupigana na Nani?
Pia naomba utuwekee picha tuone na silaha za Uganda/Kenya Mana ndio unaotumia kulinganisha
 
kwa hii hoja nimegundua wewe Ni mwanasiasa tu huna lolote
 
weka hapa tuone huo umbali Kenya ipo
 
Unajua Silaha wewe, ama mnaongea ongea tu hapa. ,,nenda ka google uone Infantry wanatumia silaha gani,
 
Drones zenyewe zilizofanya maajabu huko Azerbaijan ndio hizo zinaitwa TB2.Tunisia,Morroco wanazo tayari.Rwanda inasemekana wamezinunua 12 wakisema Ni kwa ajili ya kupambana na waasi Kule Msumbiji.

Nchi nyingi tu za kiafrica zinaweza kuzinunua hizo drones,Ila nadhani kinacho matter Ni kipaumbele Cha nchi na nchi.

 
Siri kwani hizo silaha unatengeneza wewe? kila mtu alipewa old stock eti siri wewe unanunua mpaka msumari halafu unasema siri. Siri kama ina silaha unatengeneza na haziuzwi kama unaona USA kuna silaha hawauzi ila wakitengeneza mbadala wa hiyo wanauza wakijuwa wana mbabe wa hiyo waliyouza. wewe mpaka battery ya kuwasha kifaru unaagiza. Msicheze na vita mambo ya kizamamani watu wanakurushia kombora sehemu hata kufika huwezi wana station baharini wanapiga target tu. Ila hizi kutishana wenyewe kweli zinatutosha baada ya miaka 60 tunafurahia silaha za miaka ya 60
 
Mzee nimefuatilia comments zako katika thread hii, umekuja kuchamba watu kama Mange. Sijaona hoja comment yoyote uliyoweka tukuone wewe ni GT.
Wewe hoja yako Ni ipi, Uzi wenyewe haujajitosheleza Ni Kama wewe mwenyewe unategemea zaidi mawazo ya wadau kuliko Yale uliyonayo.
 
Kilichofanyika ni upuuzi mtupu pesa nyingi zimeligharimu taifa kwa maonesho ya siraha zilizopitwa na wakati! Ukiambiwa pesa zilizotumika jana unaweza ukalia! Jana PK kwa macho yake yale alidharau sana ameona bado tupo nyuma sana hususani kwenye nguvu ya kijeshi
 
Duh! Kweli tumetofautiana uelewa! Nilipokua Olevel, mwl alitutaka tuchore ramani ya TZ tuonyeshe reli ya kati. Wengi walionyesha reli ikitoka Dar kuelekea ktkt mwaTZ mpaka Kigoma, ila sisi wachache majiniazi wa class tuliichora reli ikitoka Dar kuelekea baharini upande wa Zanzibar. !!!
 
Duh!!
 
CCM oyeeeee
 
unafahamu kwamba USA ilikimbia Vita Somalia? Unafahamu kwamba helikopta zao za kisasa kabisa za Blackhawk ziliangushwa kwa rocket launcher tu ya mchina!? Leta hoja nyingine hufatilii mambo wew
Their aim was to capture key allies of the powerful Somali warlord, Gen Mohamed Farah Aideed. Japokuwa walimkamata aideed wakiamini ndio chanzo cha vita somalia. Baadae alifia mikononi mwao 1996.

In my own view marekan waliondoka baada ya kugundua vita ya somalia ni ethnic war. Na huwez maliza ethinic war hiyo iko level ya makabila. Kimsing walipoteza muda tu pale ns resources zao

Kwa technical records tu ni kuwa ni helicopter mbili tu ziliangushwa.
wasomali hawakutumia rocket launcher, zile ni RPG rocket propelled grenade ambazo mi rahis sana kuzipata. Origin yake imetoka kwa mrusi si mchina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…