Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.

Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Acha USSR, Sema silaha zote zilizooneshwa pale zimetumika kwenye vita vya Idd Amin miaka ya 70.
 
Onesha busara hata kama hukubaliani na kitu, unaongea as if kama una uwerewa na silaha kumbe ni hopeless. Military show off iko duniani kote sio Tanzania, kuhusu siraha outdated ni matangopori mnalishana hakuna mtu amkuja na pepa humu kuonesha kuwa tunameonesha siraha autdated. Maafisa sio wajinga harafu kuwa na akili basi kwenye uwanja wa medani hatugemei siraha tu bali morale, uhodari na ushapavu kwenye uwanja wa medani, rejea vita ya Kagera au vita ya Vietnam. Vijana mnatia kinyaa kujifanya kila kitu mnajua wakati hamjui siraha huwa zinaboreshwa na zingine zinazalishwa mpya. Kwa mfano rada nyingi kitambo zilizokuwa hazina uwezo ya kunasa wave za ndege zinazopita chinichini sasa hivi mifumo imebadilika. Sio lazima kila kitu uchangie mengine yaache yapite. Tujivunie nchi yetu kwenye makosa na mapungufu tuungane tuyasahihishe, kuikejeri nchi yako ni ujinga tu au elitism ya kishenzi tu
umeandika utumbo, na siu ukute mimi mzalendo kuliko wewe. sina hata cha kukusaidia naomba ubaki na mawazo yako hayohayo manake ukifunguka akili utatusumbua wewe.
 
Ulinzi ni pamoja na kuonesha uwezo ulionao. Kwa silaha zilizooneshwa kusema kweli ni hafifu. Zimepitwa ma wakati. Uganda na Kenya wana silaha bora kutuzidi.
We are weak compared to them.
"mtanisamehe kwa kuchanga ni kiingereza kwenye hili chapisho langu"

MTOA MADA UMEKOSEA SANA

Tanzania ni jeshi namba 6 kwa ubora hapa afrika likiongozwa na Afrika kusini, Ethiopia, Libya, Misri na Ghana

Hiyo uganda unayoitaja hapo inakuja kuchukua baadhi ya mafunzo Tanzania tena ni baada ya makubaliano ya kuundwa jeshi la Afrika Mashariki

NGOJA NIKWAMBIE

May 1, 1851 Kuna kitu kilimgharimu sana muingereza hata kupoteza nafasi yake kuwa the first leading capitalist country. Hii ni baada ya ils the great exhibition ambapo Uingereza ilionesha au exhibit teknolojia yake kwa mataifa yote dunia, nchi zengine zikakopi na kuboresha zaidi ile teknolojia na kumzidi Muingereza kwa vitu mbali

Hii kitu imeleta funzo kwa nchi nyingi duniani, na ndivyo ulivyoona tarehe 9 Dec ya juzi

Majeshi hayawezi kuonesha teknolojia yake yote kwa kwenye maonesho. Si Tanzania tu kokote duniani, teknolojia na mafunzo utakayooneshwa ni ile ya kawaida kwa hilo jeshi husika. Ukisikia sijui Russia wamezindua silaha flani basi ujue ni ya kawaida kwao na huenda ilikuwepo miaka mingi kabla hata ya hiyo uzinduzi na ukute zipo bora zaidi ya hizo lakini hawasemi.

Ubora wa jeshi unapimwa kwa mission mbalj mbali zilizowahi kufanywa na jeshi husika. Zipo mission nyingi sana zimewahi kufanywa na jeshi la Tanzania. Tena baadhi ya mission hizo hufundishwa na majeshi ya mataifa mengine ikiwemo Kenya (fatilia hilo)

ANGALIZO: Ni vyema kufafilia jambo kiundani kabla ya kuandika humu. Jamii Forums ni mahali pa kujifunza, watu walio join humu wanahitaji fikra mpya za kujenga si kubomoa.
 
Uongo.
 
Wape shule vijana wanaokurupukia mambo military exhibition ni limited sana huwezi kuonesha kila kitu na wala humu hutapata update yoyote ya siraha nchini.Ubora wa jeshi unapimwa kwa mission na vita inavyoshinda. Rejea anjourn invasion, operation chakaza, operation kumekucha. Watu wanaropoka tu ila hawajui kitu kwenye ukanda maziwa makuu tunaongoza kwa kupiga mizinga hata jeshi letu linaongoza kwa kuhimili mikiki kwenye front line. Wakongo wanatujua tulivyowachakaza m 23, Burundi wanatujua tulivyowashumbulia miaka ya nyuma. Yakale ni dhahabdhahabu
 
Jeshi hili bado lipo nyuma mno, hivyo visilaha vidogo vidogo vya kijinga bado vipo! Sehemu nyingine zimeshaacha kutumika, wao wanahangaika nayo. Shame! Nchi ya ovyo sana, wanaonyesha nini kama silaha zenyewe ni za mchina na mrusi, halafu ni za zamani?
Umeongea kama unajua wakati hujui lolote kuhusu siraha, hujataja hata siraha moja ambayo unaona kwenye uwanja wa medani haiwezi kutumika effectively. Jielimishe basi kichwa chako kiende nchi ya box kuwa uwanja wa medani unaweza kuwa na lundo ya siraha na ukachakazwa vizuri. Mizinga mingi kama bm24 inependwa Sana duniani kote ila mizuri zaidi inotaka urusi na wataalamu wanasema ile za zamani iko vizuri Sana kupiga kwenye eneo la triangle. Vijana kama nyie nchi inapata hasara kuwa ni vijana wajinga ambao hawajui kuwa siraha na sanaa ya vita ni taaluma sio kila mtu anajua
 
umeandika utumbo, na siu ukute mimi mzalendo kuliko wewe. sina hata cha kukusaidia naomba ubaki na mawazo yako hayohayo manake ukifunguka akili utatusumbua wewe.
Kama Tanzania kuna watu wenye akili kama zako basi Nchi imepata hasara kubwa sana. Nenda nje ya boksi bro angalau usome sanaa ya vita uelewe mambo. Vita na siraha ni taaluma kama hujui huwezi kushare chochote. Ndio maana monduri Kuna chuo cha maafisa wenye ujuzi na utaalamu mbalimbali ambao kumsingi ni full professional military personnel
 
Wangeonesha silaha za gharama kubwa za kisasa mngelalamika kuwa serikali inapoteza pesa kununua silaha ilihali tuna amani.

Wengi wenu hamjui mambo ya vita lakini mmekuwa wachambuzi kuliko hata mabrigedia [emoji38][emoji38][emoji38]

Tishio kubwa la Tanzania na dunia kwa sasa ni ugaidi, ugaidi unamalizwa na kuwa na vikosi maalumu ( makomandoo) bora na siyo makombora ya masafa marefu.

Nchi za africa zinajitahidi kujenga diplomasia na kuondoa migogoro kwa kujenga uhusiano mwema.

Mwisho:
Jeshini kuna watu wasomi na wataamu wa intelligence kuliko ninyi wacheza karata, hawawezi kuanika kila jambo! Ukiona vile ujue kuna makubwa yamefichwa.
Huwa naenjoy sana napokutana na akili kama hizi. Usichoke kuelimisha vijana waliopotopa hawajui vita na siraha ni taaluma. Jeshini kuna bodi ya siraha ambayo kiraha mwaka wanafanya analysis kuongelea maboresho ya siraha na matumizi yake. Pia kuna COT yaani chief of operations anda training na bodi yake husimamia mafunzo na matumizi ya siraha mpya na zile za dhamani kwenye uwanja wa medani. Kuna bora zaidi kuliko hata siraha ni kuwa na intelligence bora yaani adui anaweza chapwa na siraha zake mwenyewe
 
Mzee unamatatizo katika uandishi wa kiswahili.
Hujui R na L zinatumika wapi.
Ukiandika Silaha utapungukiwa na nini!?

Hata hivyo unayoyaongea ni umbea tu. Tunaweza sema Low IQ.

Sasa zama hizi unakuja kutuonesha silaha zilizotumika vita ya Uganda! Kweli!? Almost 43 years. For what reasons!?
 
Sawa mwenye IQ kubwa lakini lakini unaonekana mweupe sana hujui lolote kuhusu military show off. Hata vyo huelewi kama vita ni trick unaweza oneshwa old weapon ila kwenye battle ukapewa surprise ukabaki mdomo wazi. Mwindiko unaweza usiwe mzuri sana ila ujumbe utakufikia tu wewe mwenye akili kubwa ambae una analysis Jambo kwa hisia tu. Kukusaidia tu elewa kiwa vita ni sanaa inayotegemea talents mbalimbali hasa kwenye field ya intelligence kingine kuna silaha zingine zinakuwa introduced kwenye uwanja wa vita. Kwenye show off unaweza oneshwa hata silaha bandia sembuse mnazoziita old weapon. Utulie tu kama hujui vita na hujawahi kushiriki hata zoezi lolote ya medani
 
Unaelewa maana ya neno "show off"
You show off vitu ambavyo ni outdated, for which reasons!?

Umeshawahi kuona show off za Kenya!? Umeshawahi kuona show off za Uganda!?
 
Sawa mwenye IQ kubwa lakini lakini unaonekana mweupe sana hujui lolote kuhusu military show off. Hata vyo huelewi kama vita ni trick unaweza oneshwa old weapon ila kwenye battle ukapewa surprise ukabaki mdomo wazi. Mwindiko unaweza usiwe mzuri sana ila ujumbe utakufikia tu wewe mwenye akili kubwa ambae una analysis Jambo kwa hisia tu. Kukusaidia tu elewa kiwa vita ni sanaa inayotegemea talents mbalimbali hasa kwenye field ya intelligence kingine kuna silaha zingine zinakuwa introduced kwenye uwanja wa vita. Kwenye show off unaweza oneshwa hata silaha bandia sembuse mnazoziita old weapon. Utulie tu kama hujui vita na hujawahi kushiriki hata zoezi lolote ya medani
Unatuonesha Chengdu J-7 ambazo China ilishaacha kuzitengeneza karibia miaka 10 iliyopita. Unatuonesha BM-21 zilizokuwa zinatumika na USSR.

Mzee vita ya sasa ni Technology siyo kutumia maguvu na machuma chuma yanayotembea.
 
Kaka wewe sio expert wa silaha tulia tu bro usione watu wametulia sio kwamba hawajui ila ethics za kazi zao haziwaruhusu kutema nyongo ungeona ulivyomweupe. I agree with you that technology ina nafasi kubwa kwenye vita ila hoja yangu ipo hivi kaka wengi wanakosea kuona ile show off ya juzi wakahisi ndio silaha tunazomiliki sio kweli. Hata hivi umetaja BM 21 ambayo imezinduliwa 1950s na kuanza kutumika 1967 imeshafanyiwa modification nyingi sana. Ungenipa technical specifications zake angalau ningejua umepita institute of fire support ila kama hujapita huko usiniambie tena chochote
 
Back
Top Bottom