Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Inaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa liweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa.
Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama za umeme zipungue. Yeye ananzisha mradi wa kutengeneza njia za kusambaza umeme wa tri 1.7.Hii ni janja ya upigaji wa January Makamba.
Hivi unaweza kuanza kuweka mabomba ya kusambaza maji kabla hujachimba kisima au kuwa na uhakika wa chanzo cha maji?
Mkuu wa nchi anashiriki kupiga raia wa kawaida na vyuma vizito akishiriki kulamba asali.