Kama sio janja ya kutengeneza upigaji kwa manufaa ya tumbo lake hii ni nini? Waziri wa Nishati kuanzisha mradi wa Tril 1.7 kabla JNHP kukamilika

Kama sio janja ya kutengeneza upigaji kwa manufaa ya tumbo lake hii ni nini? Waziri wa Nishati kuanzisha mradi wa Tril 1.7 kabla JNHP kukamilika

Inasemekana 😆😆😆😆😆😆

Endelea kupiga ramli...

Nakuuliza tena Bwawa la Nyerere ndio muarobaini wa matatizo ya umeme pekee hapa Tzn?
Acha kuuliza ujinga we mpuuzi usiyekuwa na akili. Hujui juwa bei ya nishati ya umeme ikipungua na gharama za maisha zinapungua. Foolish kabisa.
 
Kuna mvamiz ye kila comment lazima aijibu tuna safari ndefu!!!
 
Inaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa liweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa.

Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama za umeme zipungue. Yeye ananzisha mradi wa kutengeneza njia za kusambaza umeme wa tri 1.7.Hii ni janja ya upigaji wa January Makamba.

Hivi unaweza kuanza kuweka mabomba ya kusambaza maji kabla hujachimba kisima au kuwa na uhakika wa chanzo cha maji?

Mkuu wa nchi anashiriki kupiga raia wa kawaida na vyuma vizito akishiriki kulamba asali.
JNHP kakuta wenzake walishajuchukua kitambo hivyo kila mtu ale kwa urefu wa kamba ake
 
Mwanzo nilikuwa nadhani ukitoa comment huku unajielewa, lakini siku zinavyozidi kwenda ndio nagundua kumbe wewe ni chawa mtupu usiye na kitu kichwani.
Jibu Hoja wewe mbumbumbu.Kwa hiyo .Bwana halikamiliki kwa Sababu ya pesa?
 
Inaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa liweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa.

Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama za umeme zipungue. Yeye ananzisha mradi wa kutengeneza njia za kusambaza umeme wa tri 1.7.Hii ni janja ya upigaji wa January Makamba.

Hivi unaweza kuanza kuweka mabomba ya kusambaza maji kabla hujachimba kisima au kuwa na uhakika wa chanzo cha maji?

Mkuu wa nchi anashiriki kupiga raia wa kawaida na vyuma vizito akishiriki kulamba asali.
Sasa huo mradi wa Steigler gorge kama haujaenda samba-mba na njia mpya za usambazaji wa umeme utaujaribu vipi, utautumia vipi?

Au unataka ukiisha ukae tena miaka 5 ungoje njia za uememe ndipo uanze kuutumia?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Sasa huo mradi wa Steigler gorge kma haujaenda samba samba na njia mpya za usambazaji wa umeme utaujaribu vipi utautumia vipi?

Au unataka ukiisha ukae tena miaka 5 ungoje njia za uememe ndipo uanze kuutumia?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kwanini asisubiri ufiki hata 80% ndiyo aanze kutengeneza hizo njia? sema kwa vile ni muislam mwenzako ndiyo maana unatetea upigaji
 
Kwanini asisubiri ufiki hata 80% ndiyo aanze kutengeneza hizo njia? sema kwa vile ni muislam mwenzako ndiyo maana unatetea upigaji
Kwanini asubiri?

Tatizo ni nini la kufanya asubiri? Huo umeme wa bei nafuu utatufikia lini akisubiri? Unafikiri mradi mkubwa kama huo utachipua kama uyoga, leo na kesho?
 
Kwanini asubiri?

Tatizo ni nini la kufanya asubiri? Huo umeme wa bei nafuu utatufikia lini akisubiri? Unafikiri mradi mkubwa kama huo utachipua kama uyoga, leo na kesho?
Acha kutundanganya, JNHP mradi umesimama toka ameondoka Kalemani wanasingizia hakuna Crane mpk leo hakuna kinachoendelea, huyu anataka kuanza vya kwake sababu huko kawahiwa watu wameshapiga yeye naye anataka atafune kivyake, tenda hizo utasikia kesho Rostam ni mkandarasi au Kinana
 
Hii nchi imelaaniwa kuwa na viongozi wa hovyo kama hawa wanaza namna ya kupiga pesa za umma pekee
 
Bwashee zinapotokea issue nyeti kama hizi mi nilitegemea wewe ndiye useme kwa kusimamia maslahi mapana ya chadema badala ya kuchekelea tu! Au hujui nafasi yako ya kuiwakilisha chadema hapa jukwaani? Hapo umeniangusha mkuu!
Nani aseme zitto kalamba asali, lissu asali, mbowe asali
 
Back
Top Bottom