Kama sio janja ya kutengeneza upigaji kwa manufaa ya tumbo lake hii ni nini? Waziri wa Nishati kuanzisha mradi wa Tril 1.7 kabla JNHP kukamilika

Inaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa liweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa.

Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama za umeme zipungue. Yeye ananzisha mradi wa kutengeneza njia za kusambaza umeme wa tri 1.7.Hii ni janja ya upigaji wa January Makamba.

Hivi unaweza kuanza kuweka mabomba ya kusambaza maji kabla hujachimba kisima au kuwa na uhakika wa chanzo cha maji?

Mkuu wa nchi anashiriki kupiga raia wa kawaida na vyuma vizito akishiriki kulamba asali.
story hii ni doctored.
Lakini kama ni kweli, hii inaongeza sababu ya kwanini Tanzania ina speed ndogo kuelekea maendeleo.
 
Watanzania Tumerogwa na nani ??

Hakuna kulogwa wala nini ni uoga umetuzidi..wawakilishi wetu bungeni nao wenye kinga, wamegawa akili zao kwa mafisi, fear of unknown…..tunasubiria mwamba mwingine ajitokeze atukomboe tena kwenye huu upumbavu…
 
Inaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa liweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa.

Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama za umeme zipungue. Yeye ananzisha mradi wa kutengeneza njia za kusambaza umeme wa tri 1.7.Hii ni janja ya upigaji wa January Makamba.

Hivi unaweza kuanza kuweka mabomba ya kusambaza maji kabla hujachimba kisima au kuwa na uhakika wa chanzo cha maji?

Mkuu wa nchi anashiriki kupiga raia wa kawaida na vyuma vizito akishiriki kulamba asali.
Fanya kazi zako za kujiingizia kipato huku kichwani ukiondoa mawazo ya serikali ndio kila kitu kwa mwananchi katika kushusha gharama za maisha. Mwanasiasa hasa za nyakati hizi za ushindani wa kuingia mjengoni huwa wana maneno ya matumaini ila mradi ukiisha hakuna nafuu yoyote.
 
Huu ni upuuzi uliooost. Hujui ni pesa za walipa kodi ndio zinatafunwa?
 
Kila mtu anabuni namna mzuri ya kupiga pesa za umma bila jasho

Na wawakilishi wetu bungeni wameduwaa…wanabaki kusifia maneno ya kanga….wakati wenzao wanapiga…upuuzi mtupu….

Kweli JPM alisema tutamkumbuka because he knew viongozi waliopo ni kunguru…wanaona mafisi wanakula ila wanaogopa kustand out…na mafisi yanakula bwana hawajali wananchi na hawako pale kwa manufaa ya taifa na there is nothing we can do about it sababu wanaosimamia maslahi, ustawi na usalama wa taifa wananunulika
 
Hvi ile deport ya kinana pale kariakoo ishafunguliwaa tena kwa upigaji au vipi. ?
 
Inaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa liweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa.

Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama za umeme zipungue. Yeye ananzisha mradi wa kutengeneza njia za kusambaza umeme wa tri 1.7.Hii ni janja ya upigaji wa January Makamba.

Hivi unaweza kuanza kuweka mabomba ya kusambaza maji kabla hujachimba kisima au kuwa na uhakika wa chanzo cha maji?

Mkuu wa nchi anashiriki kupiga raia wa kawaida na vyuma vizito akishiriki kulamba asali.

Magufuli alipora uchaguzi akajaza wanaccm wenzake huu huko bungeni, sasa waambieni wabunge wa CCM wapinge huo wizi.
 
Hii nchi inakera sana watu wanapigika mtaani huku wengine wakikwiba pesa mchana kweupe,magufuli alifanikiwa kwenda kaburini bila kutueleza ile trillion 1.5 ilikwenda wapi
 
Wewe mpigwa kirungu ni mtu mjinga kuliko wote kasoro mme wako na familia yako( nasikia wewe ndio mwenye akili kuliko wote kwenye familia yenu). Huwezi kusema miradi na mipango mingine isimame kisa bwawa halijakamilika! Ni mpumbavu pekee kama wewe ndiye anaweza subiri Mradi wa JK Nyerere ukamilike ndio aanze kujenga transmission line wakati yote ingeweza kwenda pamoja.

Ndio wale mliotoa sababu ya kutopandisha mishahara kisa mnatekeleza miradi as if nyumbani baba akijenga watoto hawali! Kwa mtu mwenye akili alitakiwa kuipongeza serikali kwa kuendesha miradi hii simultaneously ili bwawa likikamilika miundombinu pia iwe tayari.

In a nutshell kuchelewa kwa mradi wa Nyerere Hydropower unatokana na kampuni iliyopewa tenda kutokuwa na uzoefu na kutumia subcontractors kwa kila hatua. In other words tunaweza kuwaita ni madalali tu wanaofanya kazi ya kutafuta subcontractors sio mkandarasi per se! Kiufupi tulipigwa na awamu ya 5
 
Magufuli alipora uchaguzi akajaza wanaccm wenzake huu huko bungeni, sasa waambieni wabunge wa CCM wapinge huo wizi.
Kumbe bado una machungu ya 2020? Kumbe bado una chuki na hayati JPM?
 
Back
Top Bottom