Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
we umesikia wapi?Inaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa kiweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa.
Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama za umeme zipungue. Yeye ananzisha mradi wa kutengeneza njia za kusambaza umeme wa tri 1.7.Hii ni janja ya upigaji wa January Makamba.
Hivi unaweza kuanza kuweka mabomba ya kusambaza maji kabla hujachimba kisima au kuwa na uhakika wa chanzo cha maji?
Mkuu wa nchi anashiriki kupiga raia wa kawaida na vyuma vizito akishiriki kulamba asali.
We Polepole unalalamika sanaInaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa kiweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa.
Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama za umeme zipungue. Yeye ananzisha mradi wa kutengeneza njia za kusambaza umeme wa tri 1.7.Hii ni janja ya upigaji wa January Makamba.
Hivi unaweza kuanza kuweka mabomba ya kusambaza maji kabla hujachimba kisima au kuwa na uhakika wa chanzo cha maji?
Mkuu wa nchi anashiriki kupiga raia wa kawaida na vyuma vizito akishiriki kulamba asali.
Pascal Mayalla jamaa hajasikiawe umesikia wapi?
Nani siyo mwizi?Huyu jamaa ni Mwizi.
Huu mwendo ambao hakuna priority kwenye strategic projects, hatuwezi kufika. Yes, energy mix is important. But you cant leave a project like that in the middle of the road.Hapo. makamba jr ana ana 3b's zake kaweka pembeni anatulia akisikilizia upepo
Demand ya nchi ni kiasi gani?Alfa na omega ya matatizo ya umeme Tanzania
Nini kingine? Usimamizi mbovu?nani kakwambia pesa ndio inasababisha Bwawa lisikamilike?
Huyu mpuuzi hawezi kukuelewa hata kidogo ni mpuuzi aliyejaa ugolo kichwani.Demand ya nchi ni kiasi gani?
Installed capacity ni kiasi gani?
Bwawa linaenda kuongeza kiasi gani?
Unajua tatizo kubwa la umeme uliopo sasa kushindwa kukidhi mahitaji ya viwanda vingi na pengine hata majumbani sio Outage? Ndo mambo ya kukwamisha kama lile la kule Congo?
Nini kingine? Usimamizi mbovu?
Wanasema mpango wa kujenga Transmission line ulikuwepo, ukichochewa na yule aliyeiacha mi-turbine yake inaoza bandari mojawapo huko pwani.
Inanong'onwa kuwa plan ilikuwa, serikali iwajengee transmission line ili wao wajenge plant itakayoweza kuzaliza 2,100MW na kuuza ndani na nje, line ifikishwe mpakani pale.
Inasemwa kuwa mpango uliuliwa na mwamba kwakuwa lengo lilikuwa ni chafu, kuua Power Generation ya Tanesco ili wao ndo washike hatamu, mzigo wa transmission na madeni ya distribution yabaki kwa serikali. Unadhani nini kingefuata baada ya muda mfupi, WAULIZE SA.
Kwani mradi wa umeme wa upepo pale Singida ni wa nani eti? Wanaanz a na 100MW?
Kwanini hatutaki kwenda na Geothermal ambayo imeshasemwa kuwa na uwezo wa kutupa 600MW? Kenya wanakimbiza kweli kweli kwenye hiyo!
[emoji38][emoji38][emoji38]We Polepole unalalamika sana
Unacheka nini?[emoji38][emoji38][emoji38]
sasa unashangaa nn huyo katumwa na maccm maana yote ni majiziInaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa kiweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa.
Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama za umeme zipungue. Yeye ananzisha mradi wa kutengeneza njia za kusambaza umeme wa tri 1.7.Hii ni janja ya upigaji wa January Makamba.
Hivi unaweza kuanza kuweka mabomba ya kusambaza maji kabla hujachimba kisima au kuwa na uhakika wa chanzo cha maji?
Mkuu wa nchi anashiriki kupiga raia wa kawaida na vyuma vizito akishiriki kulamba asali.
Bwashee zinapotokea issue nyeti kama hizi mi nilitegemea wewe ndiye useme kwa kusimamia maslahi mapana ya chadema badala ya kuchekelea tu! Au hujui nafasi yako ya kuiwakilisha chadema hapa jukwaani? Hapo umeniangusha mkuu![emoji38][emoji38][emoji38]
Inasemekana ππππππDemand ya nchi ni kiasi gani?
Installed capacity ni kiasi gani?
Bwawa linaenda kuongeza kiasi gani?
Unajua tatizo kubwa la umeme uliopo sasa kushindwa kukidhi mahitaji ya viwanda vingi na pengine hata majumbani sio Outage? Ndo mambo ya kukwamisha kama lile la kule Congo?
Nini kingine? Usimamizi mbovu?
Wanasema mpango wa kujenga Transmission line ulikuwepo, ukichochewa na yule aliyeiacha mi-turbine yake inaoza bandari mojawapo huko pwani.
Inanong'onwa kuwa plan ilikuwa, serikali iwajengee transmission line ili wao wajenge plant itakayoweza kuzaliza 2,100MW na kuuza ndani na nje, line ifikishwe mpakani pale.
Inasemwa kuwa mpango uliuliwa na mwamba kwakuwa lengo lilikuwa ni chafu, kuua Power Generation ya Tanesco ili wao ndo washike hatamu, mzigo wa transmission na madeni ya distribution yabaki kwa serikali. Unadhani nini kingefuata baada ya muda mfupi, WAULIZE SA.
Kwani mradi wa umeme wa upepo pale Singida ni wa nani eti? Wanaanz a na 100MW?
Kwanini hatutaki kwenda na Geothermal ambayo imeshasemwa kuwa na uwezo wa kutupa 600MW? Kenya wanakimbiza kweli kweli kwenye hiyo!
Wewe una akili ? Baawa la umeme ndio ishu kubwa π¬π¬π¬π¬..Huna akili ila unalazimisha kujadili ishu kubwa.