Kusomesha mtoto english medium inaweza isiwe shida ila tatizo ni pale mtu anapong’ang’ania mwanae asome Feza au Tusiime kwa kusumbua ndugu na jamaa ili wamchangie
Nilishakataa huo upuuzi. Kila mtu abebe mkonga wake
english haina umuhimu wowote kwenye sayansi labda kwenye history huko, lakini sayansi ni Ujiniazi wako tu mkuu. Wewe endelea kubishana na sisi tu.
Upo sahihi.. physics , chemistry na hesabu hata wazungu wengi hawaziwezi.. english sio factor kwenye sayansi
Acha bwana? Kwahiyo najira mwenyewe?[emoji23]
Mshahara haueleweki, unakuta mtumishi anasomesha watoto watatu shule ya mabasi ya njano, Kivumbi na jasho.
Sehemu nyingine familia haina kipato Cha uhakika mathalani ni wafabiashara ndogondogo nao huingiwa na ulimbukeni kupeleka watoto huko matokeo yake ni madeni na maisha ya aibu.
Wazazi wengine huenda mbali zaidi mpaka kuuza ardhi ya familia Ili wapate ada ya shule.
achana na mazuzu hao. january imeshafika wanaisoma namba
Huyo anafilisika anajiona
😂😂😂😂Kuuza ardhi ya familia kwa ajili ya ada ni ujinga wa hali ya juu sana kwa zama hizi.
Cha ajabu atakuja kuonba kazi na Hawa wa kayumba na bahasha mtaani wakati primary school amemaliza tandam ya m60...ungejenga hoteli au real estate angemaliza angekuwa na Cha kufanyaTrue.. mtu analipa milioni 3 ama nne kwa mwaka ili mwanae ajue kiingereza tu. Huku sylabus anayofundishwa mwanae wa tusiime ni ile ile ambayo wa elimu bure anafundishwa. Tofauti ni lugha tu.
Tatizo la elimu yetu ni sylabus. Jaribu kuwaza hiyo milion 3 kila mwaka mnunulie kiwanja ndani ya miaka 7 atakuwa na asset kiasi gani huyo mtoto.
Mtoto atakuwa na uhakika wa kupata elimu ya juu ama basic need hata kama mzazi umefariki.
watu wanapenda kuhamisha mada. sababu hawana hojaHuu uzi umetaja shule za english medium kwa watu wenye vipato vidogo.
Hakuna mwenye kipato kidogo anaesomesha mtoto IST
january ni balaaa, ada zinachanganya watuKaburi limefukuliwa, kisa january...we r reading the number...
Kasome ualiim..utaeelewa maana ya personal 1
Acha bwana? Kwahiyo najira mwenyewe?[emoji23]