Pre GE2025 Kama sio Tundu Lissu ni Mwanasiasa yupi unadhani anaushawishi kuwakilisha Muungano wa Vyama vya Upinzani 2025?

Pre GE2025 Kama sio Tundu Lissu ni Mwanasiasa yupi unadhani anaushawishi kuwakilisha Muungano wa Vyama vya Upinzani 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua.

Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
 
Yani awe Lissu sijui nani na nani Kwa upinzani huu hata aje malaika hawezi kushinda yaani wafuasi na viongozi wao wote waoga na Mapolisi ya kibongo yanavyojua kubonda hivyo sasa wakikumbuka matukio kama hayo huwa wanakatika maini na kuishia humu humu mitandaoni
 
Katiba hii
Wananchi sisi
Ni uwendawazimu kutaraji matokeo tafauti.
 
Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua.

Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
Kwa ipinzani kwa sasa ni TL tuu,ila kwa vile 2025 tumepanga twende na mwanamke,tunawashauri wapinzani wasimamishe mgombea mwanamke Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!
P
 
Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua.

Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
Wewe nani kakwambia kuna muungano wa vya ma vya upinzani nchini kuelekea 2025.
 
Nasema hivi Samia lazima ang'oke either wamtoe wenyewe CCM Kwa mchakato wa ndani, au tumtoe sisi wananchi Kwa kumpa urahisi Tundu lissu wa Chadema, OVER
Vladimir Putin katema Bungo huko Damascus na mtu kapewa asylum huko Moscow tayari, labda ccm watafuata role model wao na wafanye ya Bashir Al Assad
 
HAKUNA. HATA UPINZANI WENYEWE HAUPO. NJI NI MOJA HAIHITAJI UPINZANI WA BANDIA JUST FOR THE SAKE OF UPINZANI. MR MBOWE WILL THEN BE IN MERU (MERU COUNTY, ILE YA KENYA) AND TUNDU LIDSSU WILL BE IN VELGIUM.
 
Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua.

Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
Kwanini tunahangaika na vyama vya siasa kuliko kupata kiongozi mzalendo kwa maslahi ya Taifa?
 
Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua.

Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
Ni ujinga mkubwa (total ignorance) wa kutoelewa maana na umuhimu wa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi kufikiria kuwa na mgombea mmoja wa kuwakilisha vyama vya upinzani.

Aidha ni ujinga mwingine kufikiria vyama vya siasa vyenye mielekeo tofauti ya kiitikadi na kisera kuungana katika uchaguzi. Hiyo haina manufaa yoyote kwa wananchi labda kwa wanasiasa wanaosaka ulaji tu.

Wananchi wanahitaji kuwa na machaguo tofauti tofauti yaliyojipambanua kwa dhahiri kukidhi mahitaji yao, basi.

Umuhimu wa Tundu Lissu ni kwa chama atakachogombea tu, kikimchagua. Kutarajia ataweza pia kuwakilisha vyama vingine vya upinzani ni uongo (fallacy). Labda kama ni uchaguzi wa sura ya mtu tu na sio substance.
 
Back
Top Bottom