Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
🤣🤣 AiseeTundu Lissu ndio nani?
wewe ni nani??😀😀🤔🤔🤔🙂🙂🙂Tundu Lissu ndio nani?
Kwa ipinzani kwa sasa ni TL tuu,ila kwa vile 2025 tumepanga twende na mwanamke,tunawashauri wapinzani wasimamishe mgombea mwanamke Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua.
Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
Wewe nani kakwambia kuna muungano wa vya ma vya upinzani nchini kuelekea 2025.Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua.
Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
Simba wa KizimkaziTundu Lissu ndio nani?
Vladimir Putin katema Bungo huko Damascus na mtu kapewa asylum huko Moscow tayari, labda ccm watafuata role model wao na wafanye ya Bashir Al AssadNasema hivi Samia lazima ang'oke either wamtoe wenyewe CCM Kwa mchakato wa ndani, au tumtoe sisi wananchi Kwa kumpa urahisi Tundu lissu wa Chadema, OVER
Kwanini tunahangaika na vyama vya siasa kuliko kupata kiongozi mzalendo kwa maslahi ya Taifa?Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua.
Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
Ni ujinga mkubwa (total ignorance) wa kutoelewa maana na umuhimu wa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi kufikiria kuwa na mgombea mmoja wa kuwakilisha vyama vya upinzani.Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua.
Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?