Kama siyo huruma ya Rais Samia, Lissu atakaa sana mahabusu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.

Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.

Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili.

Chadema hili mlione. Ni mfumo wa dunia.

Kwa hivyo nawashauri chadema. Wakae Rais wajaribu kulitatua swala la lissu.

Dunia inavyoendeshwa kwa sasa ni mfumo mpya.

Chadema wasome alama za nyakati.

Wajifunze kupitia Venezuela, Iran. Mwenye nguvu hana kosa ktk dunia hii

Chadema imesheheni wasomi, imesheni wana diplomasia
 
Lissu hahitaji huruma ya ntu au mamaduro, bali anataka due process na haki! Huruma kwa kosa gani alilotenda? Kwani babu seya na jiwe au yule bint aliyemuua kanumba na makonda wao?
 
Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili.
Chadema hili mlione. Ni mfumo wa dunia.
Kwa hivyo nawashauri chadema. Wakae Rais wajaribu kulitatua swala la lissu.
Dunia inavyoendeshwa kwa sasa ni mfumo mpya.
Chadema wasome alama za nyakati.
Wajifunze kupitia Venezuela, Iran. Mwenye nguvu hana kosa ktk dunia hii
Unaposema Chadenma wakae na Samia juu ya sakata la Lissu unadhihirisha kuwa hakuna uhaini wowote aliopanga Lissu bali yuko pale kwa amri haramu ya Samia na mahakama imetumika kukidhi matakwa binafsi ya Samia na genge lake , na pia unadhihirisha kuwa Mahama haiko huru bali inafanya kazi kwa maagizo binafsi ya Samia.
 
Umejifunza nini kwa UNO ya sasa?
 
Back
Top Bottom