Nasikia upo USA. Tupe habari za huko. UNO ilikaa kuhusu Vita vya Iran na Venezuela?F Samia.
Unaposema Chadenma wakae na Samia juu ya sakata la Lissu unadhihirisha kuwa hakuna uhaini wowote aliopanga Lissu bali yuko pale kwa amri haramu ya Samia na mahakama imetumika kukidhi matakwa binafsi ya Samia na genge lake , na pia unadhihirisha kuwa Mahama haiko huru bali inafanya kazi kwa maagizo binafsi ya Samia.Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili.
Chadema hili mlione. Ni mfumo wa dunia.
Kwa hivyo nawashauri chadema. Wakae Rais wajaribu kulitatua swala la lissu.
Dunia inavyoendeshwa kwa sasa ni mfumo mpya.
Chadema wasome alama za nyakati.
Wajifunze kupitia Venezuela, Iran. Mwenye nguvu hana kosa ktk dunia hii
Halafu pengine wewe ngraduate from st.Moderator hawaoni umuhimu wa kumfungia huyu jamaa? Kila dakika anaanzisha uzi
Na siku ya siku ikifika wewe kapuku tutakuchoma moto kama kibaka tu, na uzuri umejianika sana tunakudaka kama senene tu pumbavu kabisa wewe.Lissu hapaswi kuwepo Mitaani na Uraiani. Maisha Yake yanapaswa kuwa hukohuko
Umejifunza nini kwa UNO ya sasa?Unaposema Chadenma wakae na Samia juu ya sakata la Lissu unadhihirisha kuwa hakuna uhaini wowote aliopanga Lissu bali yuko pale kwa amri haramu ya Samia na mahakama imetumika kukidhi matakwa binafsi ya Samia na genge lake , na pia unadhihirisha kuwa Mahama haiko huru bali inafanya kazi kwa maagizo binafsi ya Samia.
Safi sana.F Samia.
UNO inahusikaje na sakata la Lissu?Umejifunza nini kwa UNO ya sasa?
Nyinyi mlakula ruzuku ya chama yeye mnamuacha atesekeSafi sana.
Tz si mwanachama?UNO inahusikaje na sakata la Lissu?
Kwa hiyo?Tz si mwanachama?
Mbona kama umevimbiwa mchemsho wa nguruwe dogo? Ruzuku gani unazungumzia Ustaadh Malaria Sugu?Nyinyi mlakula ruzuku ya chama yeye mnamuacha ateseke
Itakuwa wewe hivi sasa upo ktk gari lenye kiyoyozi huku lissu akiwa yupo mahabusuMlimpeleka mahakamani, malizieni tu kwa mfumo wa mahakama bila huruma! Mlijua mtamtisha apige magoti mmeshindwa kuachieve mlichotaka sasa mnaforce kingi sio?
Malizieni tu na superstar wenu Katuga