Kama siyo huruma ya Rais Samia, Lissu atakaa sana mahabusu

Itakuwa wewe hivi sasa upo ktk gari lenye kiyoyozi huku lissu akiwa yupo mahabusu

Aisee hivi unajua watu wana cause zao na haya mambo ya kutumika ili ushibe walishaondoka huko? Ingekua anataka hayo maviyoyozi angeshauzwa tangu abdul anamfuata tegeta kupitia kwa wenje na njaa zake, mwanaume hajaumbwa kulishwa mzee malaria sugu
 
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa Samia ni bunge, Samia ni mahakama, Samia ni serikali.

Kama ni hivyo, kwa nini tunapoteza fedha kulipa hiyo mihimili mingine wakati she can be everything? Huruma ya Raisi? Wtf is this?
 
Aisee hivi unajua watu wana cause zao na haya mambo ya kutumika ili ushibe walishaondoka huko? Ingekua anataka hayo maviyoyozi angeshuzwa tangu abdul anamfuata tegeta kupitia kwa wenje na njaa zake, mwanaume hajaumbwa kulishwa mzee malaria sugu
Uendeshaji wa dunia umechange hivi saaa wa kisiasa. Unauona?
 
Aisee hivi unajua watu wana cause zao na haya mambo ya kutumika ili ushibe walishaondoka huko? Ingekua anataka hayo maviyoyozi angeshuzwa tangu abdul anamfuata tegeta kupitia kwa wenje na njaa zake, mwanaume hajaumbwa kulishwa mzee malaria sugu
Hawa wamezoea kulishwa vijinyama toka Makkah hadi wanatoana ngeu wakigombea mgao.
 
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa Samia ni bunge, Samia ni mahakama, Samia ni serikali.

Kama ni hivyo, kwa nini tunapoteza fedha kulipa hiyo mihimili mingine wakati she can be everything? Huruma ya Raisi? Wtf is this?
Noo. Nimetoa mfano UNO
 
As long tunaishi na siku moja tutaondoka na atakayekuja hata taka kuona au kusikia chochote kuhusu wewe au kuhusu ulichowahi kukifanya ngoja tuone...

Ila akumbuke malipo na hukumu za yale yote tunayoyafanya Duniani, Hukumu yake ipo hapa hapa na ataishuhudia kwa macho yake
 
Hoja yako nzuri na umeshauri kwa weledi ingawa tutakutukana, so jiandae kisaikolojia mkuu 😁
Ninajiuliza hivi wakiamua hata kumuhukumu kifo nini tutafanya?
 
Hata Wapalestina wasalimu amri tu kwa Israel wawaachie hiyo ardhi wahamie nchi nyingine za uarabuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…