Kama siyo huruma ya Rais Samia, Lissu atakaa sana mahabusu

Kwa akili yako unadhani mahakama inahitaji kuendeshwa kwa hisani za rais
 
Yanii uliyoanza kuyataja hayalingani kabisa na hapa nyumbani
 
 
Mpuuzi Mmoja wee
 
Ukweli mchungu sana
 
Sasa itakuaje, maana TAL alishasema haombi huruma kwa mahakama wala mtu yeyote.

Anataka atendewe haki kwa mujibu wa sheria, Kama Mahakama imrmuona anamakosa basi anyongwe kama hana makosa aachiwe.

Baadae nikaskia wengine wanasema huruma sio malezi.
 
Nimejikuta nakudharau automatically!
 
Sasa itakuaje, maana TAL alishasema haombi huruma kwa mahakama wala mtu yeyote.

Anataka atendewe haki kwa mujibu wa sheria, Kama Mahakama imrmuona anamakosa basi anyongwe kama hana makosa aachiwe.

Baadae nikaskia wengine wanasema huruma sio malezi.
Yupo tayari kuozea jela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…