Mkuu nakumbuka haya mabango ni wakati wa Kikwete awamu ya nne. Wakati huo kulikuwa na ishu sana ya mfumo Kristo.Jambo hili halileti afya kwa taifa. Tujitafakari!View attachment 2729462
NB: Mwandiko niwa mtu mmoja!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nakumbuka haya mabango ni wakati wa Kikwete awamu ya nne. Wakati huo kulikuwa na ishu sana ya mfumo Kristo.Jambo hili halileti afya kwa taifa. Tujitafakari!View attachment 2729462
NB: Mwandiko niwa mtu mmoja!.
Mimi ni mgalatia konki. Lakini mleta mada analeta picha ya mabango enzi za utawala wa Kikwete awamu ya nne huko. Nakumbuka ilikuwa wakati ule wa ishu ya mfumo Kristo .Kabla hamjatukana kupitiliza, nina swali dogo tu. Hiyo picha ni ya leo?!!!! Kama ya leo ni wapi huko watu wameandamana kwa ajili ya waraka wa wakatoliki?!!!!
Mnaojinasibu mna akili ningewasihi muwe makini msije mkawa wajinga kuliko hao mnaowaita wajinga walioonekana katika hiyo picha ya maktaba.
Naendelea kujifunza humu jukwaani kuwa;
1. Udini is real kumbe. Utofauti wao tu ni kuwa kuna upande unajifanya kujificha katika kivuli cha usomi.........hili sakata la bandari limenionyesha sana hayo.
2. Kama ulifikiria jf itakusaidia sana kuondokana na ujinga, my friend, you have another think coming. Si tu kwamba kuna wajinga, bali kuna wapumbavu pia lukuki.......cha kuchekesha hutwa kucha wanakesha wakijisifu kuwa waelevu
Ijumaa wakienda kuswali wanaowaacha mashuleni wanaendelea na vipindi au?Waislam wana mawazo mgando sana. Hutetea hata kama ni ujinga alimradi tu aliyefanya ni mwislam.
Walidai hijab, wakapewa. Ijumaa wako huru kuacha vipindi kwenda kuawali.
Wananyanyaswa kivipi?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Wazungu ' Wakoloni" Wametutafuta sana kwenye Ukabila Wakatukosa ila Sasa Tumepatikana Kila Kona, Na Chanzo ni choko choko na Unafiki wa Viongozi Wadini kuwa Na Double Standard , Kuna kipindi wanaweza kuongeza na Kukemea ila Kuna Wakati wanakuwa Kimiya.Jambo hili halileti afya kwa taifa. Tujitafakari!View attachment 2729462
NB: Mwandiko niwa mtu mmoja!.
Huku hakueleweki au sio 😀Mimi ni mgalatia konki. Lakini mleta mada analeta picha ya mabango enzi za utawala wa Kikwete awamu ya nne huko. Nakumbuka ilikuwa wakati ule wa ishu ya mfumo Kristo .
Ngoja niamie tu huko kwenye jukwaaa la sport forums nisome comments na kuchangia kwenye uzi wa Manchester united.
adriz Accumen Mo
Uwe unatafakari kwa kina kabla ya kufungua uzi vinginevyo utaonekana reasoning ipo chini kuzidi kiwango cha mwisho.Jambo hili halileti afya kwa taifa. Tujitafakari!View attachment 2729462
NB: Mwandiko niwa mtu mmoja!.
Mbona wakati wajiwe waraka zilitoka mara mbili kipindi cha watu kupotea na cha korona alafu mbona walishakwenda ikulu na wakatoa maoni yao na yakapuuzwa ndio hapo kkafikia hatua ya kutoa warakaWazungu ' Wakoloni" Wametutafuta sana kwenye Ukabila Wakatukosa ila Sasa Tumepatikana Kila Kona, Na Chanzo ni choko choko na Unafiki wa Viongozi Wadini kuwa Na Double Standard , Kuna kipindi wanaweza kuongeza na Kukemea ila Kuna Wakati wanakuwa Kimiya.
Binafsi najiuliza Kipindi Cha JIWE viongozi wetu wa Dini waliokuwa likizo? Kuna Uonezi uvunjaji wa Katiba , Kutukanwa na kudhalilishwa CAG wakati anatimiza majukumu yake! Kupotea Kwa Ben Sanane, Alphonse Mawazo, Tundu Lissu alikosa hata kulipiwa gharama za Hospital Na kupoteza Ubunge wake! Manunuzi ya Ndege , Upotevu wa Hela, kutekwa Kwa Moe Deej, Wafanyabiashara kupewa kesi za Uhujumu Uchumi! , Jee kabla ya DP hiyo bandari ya Dar es salaam elikuwa Chini ya nani ? TICTS hao waliokuwa Wazungu kipindi Chao tulijadili utendaji kazi wao tu, ila Sasa Kwa DP kwakuwa wao ni Warabu na ni Waislam watu wanaopinga huo mkataba wameongeza chuku Kwa kujadili kuwa hao Wanaopewa ni Warabu na Waislam. Viongozi wetu walikuwa kwenye nafasi kubwa kwenda IKULU kuonana Raisi na kutoa maoni Yao yangesikilizwa, ila njia walitumia ni kuleta taharuki Mtaani na kuvunja amani na umoja wetu. Haya ni maoni yangu ukubali or ukatae Kila mtu ana maoni yake na agenda za seri ni hatari tuwe wawazi
Sasa wewe, shule ina wanafunzi 500, kati yao waislamu ni 50. Masomo yasime kwa ajili ya hao 50 tu?Ijumaa wakienda kuswali wanaowaacha mashuleni wanaendelea na vipindi au?
Tujaribu kuwa makini tupunguze ukuwaji na kukejeli, kudharau , Eli jamii zetu ziwe pamoja na Tuendelee kuwa wamoja, Binafsi naona tungetengana kirahisi sanaSasa wewe, shule ina wanafunzi 500, kati yao waislamu ni 50. Masomo yasime kwa ajili ya hao 50 tu?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Ngoja Arsenal tuchomoe goli la mapema ntarudi ,sina raha kabisa🥹.Mimi ni mgalatia konki. Lakini mleta mada analeta picha ya mabango enzi za utawala wa Kikwete awamu ya nne huko. Nakumbuka ilikuwa wakati ule wa ishu ya mfumo Kristo .
Ngoja niamie tu huko kwenye jukwaaa la sport forums nisome comments na kuchangia kwenye uzi wa Manchester united.
adriz Accumen Mo
Fullham wamesogezea kilia na mani sijui kama ataponaNgoja Arsenal tuchomoe goli la mapema ntarudi ,sina raha kabisa🥹.
Wao Huwa wanaaminishwa chochote na kuaminiWanafunzi Waislam wananyanyaswaje mashuleni? Na wananyanyaswa na nani?!
Dk 1 tumepigwa 🥲Fullham wamesogezea kilia na mani sijui kama atapona
Me nakumbuka ilivyokuwa ikifika muda wa kwenda msikitini bas ratiba ya vipindi nayo inasimama wanaobaki nao wanaenda kwenye baadhi ya vyumba vya madarasa kila mtu kulingana na dhehebu lakeSasa wewe, shule ina wanafunzi 500, kati yao waislamu ni 50. Masomo yasime kwa ajili ya hao 50 tu?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
We naye hii sio ya sasa ilikua zamani wakati wa JKJambo hili halileti afya kwa taifa. Tujitafakari!View attachment 2729462
NB: Mwandiko niwa mtu mmoja!.
Sasa wajichanganye waanze kuua watu Kama Somalia. Wataona motoWao Huwa wanaaminishwa chochote na kuamini
Jambo hili halileti afya kwa taifa. Tujitafakari!View attachment 2729462
NB: Mwandiko niwa mtu mmoja!.