Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Mgalatia ndo nani!!??? Kavae Kobazi huko.Mimi ni mgalatia konki. Lakini mleta mada analeta picha ya mabango enzi za utawala wa Kikwete awamu ya nne huko. Nakumbuka ilikuwa wakati ule wa ishu ya mfumo Kristo .
Ngoja niamie tu huko kwenye jukwaaa la sport forums nisome comments na kuchangia kwenye uzi wa Manchester united.
adriz Accumen Mo