Kabla hamjatukana kupitiliza, nina swali dogo tu. Hiyo picha ni ya leo?!!!! Kama ya leo ni wapi huko watu wameandamana kwa ajili ya waraka wa wakatoliki?!!!!
Mnaojinasibu mna akili ningewasihi muwe makini msije mkawa wajinga kuliko hao mnaowaita wajinga walioonekana katika hiyo picha ya maktaba.
Naendelea kujifunza humu jukwaani kuwa;
1. Udini is real kumbe. Utofauti wao tu ni kuwa kuna upande unajifanya kujificha katika kivuli cha usomi.........hili sakata la bandari limenionyesha sana hayo.
2. Kama ulifikiria jf itakusaidia sana kuondokana na ujinga, my friend, you have another think coming. Si tu kwamba kuna wajinga, bali kuna wapumbavu pia lukuki.......cha kuchekesha hutwa kucha wanakesha wakijisifu kuwa waelevu