Kama taifa ndio tumefikia huku? Je, shida ni ule waraka au kuna kingine hatukijui nyuma ya pazia?

Mimi ni mgalatia konki. Lakini mleta mada analeta picha ya mabango enzi za utawala wa Kikwete awamu ya nne huko. Nakumbuka ilikuwa wakati ule wa ishu ya mfumo Kristo .

Ngoja niamie tu huko kwenye jukwaaa la sport forums nisome comments na kuchangia kwenye uzi wa Manchester united.

adriz Accumen Mo
 
Jambo hili halileti afya kwa taifa. Tujitafakari!View attachment 2729462

NB: Mwandiko niwa mtu mmoja!.
Wazungu ' Wakoloni" Wametutafuta sana kwenye Ukabila Wakatukosa ila Sasa Tumepatikana Kila Kona, Na Chanzo ni choko choko na Unafiki wa Viongozi Wadini kuwa Na Double Standard , Kuna kipindi wanaweza kuongeza na Kukemea ila Kuna Wakati wanakuwa Kimiya.
Binafsi najiuliza Kipindi Cha JIWE viongozi wetu wa Dini waliokuwa likizo? Kuna Uonezi uvunjaji wa Katiba , Kutukanwa na kudhalilishwa CAG wakati anatimiza majukumu yake! Kupotea Kwa Ben Sanane, Alphonse Mawazo, Tundu Lissu alikosa hata kulipiwa gharama za Hospital Na kupoteza Ubunge wake! Manunuzi ya Ndege , Upotevu wa Hela, kutekwa Kwa Moe Deej, Wafanyabiashara kupewa kesi za Uhujumu Uchumi! , Jee kabla ya DP hiyo bandari ya Dar es salaam elikuwa Chini ya nani ? TICTS hao waliokuwa Wazungu kipindi Chao tulijadili utendaji kazi wao tu, ila Sasa Kwa DP kwakuwa wao ni Warabu na ni Waislam watu wanaopinga huo mkataba wameongeza chuku Kwa kujadili kuwa hao Wanaopewa ni Warabu na Waislam. Viongozi wetu walikuwa kwenye nafasi kubwa kwenda IKULU kuonana Raisi na kutoa maoni Yao yangesikilizwa, ila njia walitumia ni kuleta taharuki Mtaani na kuvunja amani na umoja wetu. Haya ni maoni yangu ukubali or ukatae Kila mtu ana maoni yake na agenda za seri ni hatari tuwe wawazi
 
Huku hakueleweki au sio šŸ˜€
 
Jambo hili halileti afya kwa taifa. Tujitafakari!View attachment 2729462

NB: Mwandiko niwa mtu mmoja!.
Uwe unatafakari kwa kina kabla ya kufungua uzi vinginevyo utaonekana reasoning ipo chini kuzidi kiwango cha mwisho.

Hiyo picha ni kipindi cha JK sio kipindi hiki kama unavyokusudia kuaminisha watu.
 
Mbona wakati wajiwe waraka zilitoka mara mbili kipindi cha watu kupotea na cha korona alafu mbona walishakwenda ikulu na wakatoa maoni yao na yakapuuzwa ndio hapo kkafikia hatua ya kutoa waraka
 
Ngoja Arsenal tuchomoe goli la mapema ntarudi ,sina raha kabisa🄹.
 
Muandiko wa mtu mmoja halafu waliobebeshwa mabango hata hawaelewi kitu
 
Ccm inazidi kuwafanya waislamu waonekane Wana upeo finyu
 
Sasa wewe, shule ina wanafunzi 500, kati yao waislamu ni 50. Masomo yasime kwa ajili ya hao 50 tu?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Me nakumbuka ilivyokuwa ikifika muda wa kwenda msikitini bas ratiba ya vipindi nayo inasimama wanaobaki nao wanaenda kwenye baadhi ya vyumba vya madarasa kila mtu kulingana na dhehebu lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…