Kama taifa, yafaa kumshukuru Mungu kwa kutuonesha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi mchana kweupe tena kwa macho ya nyama kabisa

It seems you don't understand what I'm trying to say

Wewe ngoja nikuache huu mdahalo unaufanya kua mgumu na wakati ni mwepesi

Tufanye hivyo vyote ulivyotaja ndio keki ya taifa so unadhani vinatosha kwamba watu hatuitaji extra

Mfano barabara za Dar es salaam nyingi ni mbovu mnooo mashimo kila sehemu
Kuna zinazojengwa myaka nenda rudi haziishi vumbi tupu bora hata kipindi cha jiwe

Hospital hakuna usawa nasikia zenji wajawazito kujifungua ni bure huku bara matozo kila sehemu

Hiyo Internet unayosema ni ipi Tanzania ni miongoni mwa nchii zenye bei kubwa kwa bundle kumbuka ni juzi tu JF imetolewa kifungoni

Mambo ni mengi ya hovyo watu wakisema wanaonekana hawapendi taifa
Ila wanaopenda taifa ni wale wanaosukuma ndinga kalii kwa kodi za masikini
okay,
I will maybe understand you later.

halafu ndugu mdau,
unasema watu mnahitaji vitu extra, right?🤣

lakini mnaenjoy wilivyopo kwa kiasi ila mngependelea mpate extra, right?🐒
 
Tatizo letu ni kupenda kusifiwa,ukiongea ukweli unaonekana kibaraka wa mabwenyenye,haohao mabwenyenye ndio wamekutengezea hiyo simu unayobwatukia hapa!
 
Gentleman,
sifa na utukufu ni kwa Mungu pekee , hasa kwa kutupatia Neema na Baraka za kutuonyesha kwa macho ya nyama maadui wa taifa letu kwa majina na sura zao 🐒
 
Tlaahtlaah uko vizuri kwenye kueleza,ila huna ukweli kabisa, mbaya zaidi upo kichama zaidi!
 
mimi ni mwanasiasa muandamizi wa kitaifa na kimataifa, naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, bila kujali mrengo wa chama chochote cha siasa, ispokua kwa maslahi mapana ya taifa letu na waTanzania wote 🐒
 
okay,
I will maybe understand you later.
👍
halafu ndugu mdau,
unasema watu mnahitaji vitu extra, right?🤣

lakini mnaenjoy wilivyopo kwa kiasi ila mngependelea mpate extra, right?🐒
Kile Kizazi cha Millennials cha kusema ooh siasa haituhusu wengi wao wazee
Au wamekufa

Saivi tuliyopo ni sisi hatutaki kulambishwa pipi huku nyie mmjifungia mnakula kuku kwa mrija
Hata sisi tunataka tupewe
 
Gentleman,
mimi ni mwanasiasa muandamizi wa kitaifa na kimataifa, naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, bila kujali mrengo wa chama chochote cha siasa, ispokua kwa maslahi mapana ya taifa letu na waTanzania wote 🐒
Kumbe ok ok so now upo kazini?
 
Kumbe ok ok so now upo kazini?
it's a blue Monday,
vikao kazi vya majumuisho ya ripoti ya wiki iliyopita vimepambamoto, huku objectives na way forward kwa wiki nzima hii vikibainishwa na kuwekwa wazi.

ndugu mdau,
ni muhimu sana kufanya kazi kwa bidii, kizalendo na maarifa kwa mustakabali mwema wa Taifa letu 🐒
 
Ahaa ok nimeelewa
ndugu mdau,
ni muhimu sana kufanya kazi kwa bidii, kizalendo na maarifa kwa mustakabali mwema wa Taifa letu 🐒
Mimi jobless naomba kazi ya kusafisha viatu vyako🐒
 
👍

Kile Kizazi cha Millennials cha kusema ooh siasa haituhusu wengi wao wazee
Au wamekufa

Saivi tuliyopo ni sisi hatutaki kulambishwa pipi huku nyie mmjifungia mnakula kuku kwa mrija
Hata sisi tunataka tupewe
ndugu mdau,
kwanza kabisa,
sio sahihi kua na dhana kama hiyo, ya kwamba eti kuna watu mahali fulani wana kula kuku na wengine sijui wanakula nini huko.
Hiyo si sawa hata kidogo.

Kila moja anahitaji kula kinachostahili.
Na ni dhana isiyosahihi eti mtu akiwa mtumishi labda anakula vizuri na asie mtumishi anakula vibaya.

mtumishi wa umma, mfanyabiashara, mkulima, mfugaji n.k, wote wanastahili kula vizuri na bila kujifungia mahali 🐒
 
Haya

Mimi nakula vibaya 😎

Hapa unaongea kama mtu mwema
Gudubaiiii
 
Haya

Mimi nakula vibaya 😎

Hapa unaongea kama mtu mwema
Gudubaiiii
mimi ni raia mwema daima,
waTanzania wote ni ndugu, marafiki na jamaa zangu licha ya utofauti wa mawazo, mirengo ya kisiasa au dini.

I love Tanzanians to the above maximum 😘
 
Haya Asantee
Tumemaliza mdahalo wetu👊
 
Back
Top Bottom