Kama tajiri namba moja duniani anapenda siasa, we kapuku unasema siasa huitaki eti ni uhuni. Una akili kweli?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambania Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda.

Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi.

Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema eti siasa haikuhusu. Au tatizo ni elimu tu ya watanzania ya kuhudhuria vyuo tu bila maarifa yoyote. Vyuo kama SAUT hakuna mwenye GPA chini ya 4 lakini kichwani empty.
 
Elon musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambani trump kwa nguvu moja na trump amemteua kwenye position flani baada ya kushinda.

Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teeuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi.

Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema eti siasa haikuhusu. Au tatizo ni elimu tu ya watanzania ya kuhudhuri vyuo tu bila maarifa yoyote. Vyuo kama SAUT hakuna mwenye gpa chini ya 4 lakini kichwani empty.
Makapuku hua hawajui lolote wapo wapo kupelekwa tu,hawana uelewa wa mambo
 
Elon musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambani trump kwa nguvu moja na trump amemteua kwenye position flani baada ya kushinda.

Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teeuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi.

Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema eti siasa haikuhusu. Au tatizo ni elimu tu ya watanzania ya kuhudhuri vyuo tu bila maarifa yoyote. Vyuo kama SAUT hakuna mwenye gpa chini ya 4 lakini kichwani empty.
Huelewi hata sababu gani wanafanya hivyo, ni rahisi wao kupitisha sera zao zitakazo nufaisha biashara zao.
Akija mgombea ambae wanaona ana sera hazito support biashara zao watampiga vita

It all about money, si kwamba wanapenda siasa
 
So you have confirmed that politics is everything. Sasa kwa nini nyie makapuku mkiambiwa muandamane kudai haki zenu m awaona akina mbowe wamechangangikiwa. Shida ni hiyo elimu yako ya Kampala university ya gongo la mboto ambapo hata aliyesoma HGL anasomea udaktari wa binadamu
 
Sorry hakuna mahali nimesema politics is everything, and pls usiniite kapuku maana you dont know me, waite hao uliona huko. I am not kapuku

Pili si matajari wote america wanashobokea siasa, na hii ni kutokana na mihimili na sheria zao ambazo unaweza pata chochote bila kupitia siasa. Is why matajiri wengi hawagombei, wala kuwa na tamaa ya vyeo
The same to UK, na jamii ziliendelea

Itategemea nani anataka nini wakati huo lakini si kila mtu atataka siasa ili afanikiwe
 
Mihimili hiyo unayozungumzia ndugu yangu imewekwa hapo na siasa na kuna watu wamekufa kupambana mihimili iwe hivyo. Stabilility ya mihimili hiyo haikutoka mbinguni kuna watu wamesacrifise maisha yao ili wengine wapone. Ila nyie ni ubinafsi tu eri kwa vile we siyo kapuki basi siasa haikuhusu. Unashindwa kujua jamii inayokuzunguka ni kapuku na siku wakichoka watakuvamia na kukua ili nao waishi kama wewe
 
Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambani Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda.

Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi.

Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema eti siasa haikuhusu. Au tatizo ni elimu tu ya watanzania ya kuhudhuria vyuo tu bila maarifa yoyote. Vyuo kama SAUT hakuna mwenye GPA chini ya 4 lakini kichwani empty.
Ushawaita makapuku sasa unategemea upate kitu gani zaidi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Siasa kwangu hazina nafasi nasijawahi shindwa kula kuvaa na kulala tena kwa wakati, sio kila mtu anatamani utajiri.
Ipo siku atakingia dictator au chinjs chinja madarakani ndo utaona umuhimu wa siasa. Hata kula kwako itakuwa issue mana unakula nje kuna mabomu yanarindima. Huoni nchi kidogo iangukie huki miaka mitano iliyopita. Thanks to God tu
 
Dunia ni kubwa sana mkuu sio lazima niishi hiyo nchi tu si gereza hilo😂
 
Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambani Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda.

Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi.

Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema eti siasa haikuhusu. Au tatizo ni elimu tu ya watanzania ya kuhudhuria vyuo tu bila maarifa yoyote. Vyuo kama SAUT hakuna mwenye GPA chini ya 4 lakini kichwani empty.
nadhani Aristotle aliliona hilo na akasema,
If you isolate yourself from taking part in political administrations don't blame to be ruled by a fool 🐒
 
Dunia ni kubwa sana mkuu sio lazima niishi hiyo nchi tu si gereza hilo😂
Siasa inaweza kuchange hata namna yako ya kufikiri, kuishi na familia au kiabudu. Anaweza kuingia madarakani rais akapiga marufuku makanisa au misikiti yote kama ilivyo kwa kim jong un
 
Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambani Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda.

Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi.

Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema eti siasa haikuhusu. Au tatizo ni elimu tu ya watanzania ya kuhudhuria vyuo tu bila maarifa yoyote. Vyuo kama SAUT hakuna mwenye GPA chini ya 4 lakini kichwani empty.
Tatizo la siasa.
Ukiwa mpinzani utakiona cha moto
Ukiwa chawa mwisho unageukwa unakiona cha moto. Ktk siasa ni kugombania vyeo, alienaacho yupo tayari kukupoteza.
 
Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema eti siasa haikuhusu. Au tatizo ni elimu tu ya watanzania ya kuhudhuria vyuo tu bila maarifa yoyote. Vyuo kama SAUT hakuna mwenye GPA chini ya 4 lakini kichwani empty.
Mada yako nzuri sana na raia wanatakiwa wajue siasa ni maisha, kama watajitenga nayo eti haiwahusu huko ni kujidanganya.

Ila sasa mkuu usitutukane bhana sisi wahitimu.
 
Back
Top Bottom