- Thread starter
- #61
Biblia sisi wenyewe ndo tumeiandika. Sasa kitabu tulichokiandika sisi wenyewe tusikijue ukijue wewe ambaye umepasiwa tu. Unachekesha kweli.Rafiki, hujui Biblia nyamaza. Acha kutuharibia siku. Unajua Imani, itikadi au dini na dhehebu la kila mtu humu. Wewe ndiye laana kubwa unayewalaani watu ambao hujui Mungu aliwaumbaje.