Kama tajiri namba moja duniani anapenda siasa, we kapuku unasema siasa huitaki eti ni uhuni. Una akili kweli?

Kama tajiri namba moja duniani anapenda siasa, we kapuku unasema siasa huitaki eti ni uhuni. Una akili kweli?

Tatizo la siasa.
Ukiwa mpinzani utakiona cha moto
Ukiwa chawa mwisho unageukwa unakiona cha moto. Ktk siasa ni kugombania vyeo, alienaacho yupo tayari kukupoteza.
Mbona kwingine kama marekani hawako hivyo? Shida hatujajitambua tu ni kwa sababu ya elimu yetu mbovu ya kugombania boom tu
 
Siasa inaweza kuchange hata namna yako ya kufikiri, kuishi na familia au kiabudu. Anaweza kuingia madarakani rais akapiga marufuku makanisa au misikiti yote kama ilivyo kwa kim jong un
Yani ingekua poa sana mambo ya dini yakafutwa kabisa.
 
Hitimisho lako kwa mtu asiyependa siasa ni ujinga?

Wewe ndo mjinga mkubwa

Umejaribu kutofautisha nyendo za kisiasa kati ya Africa, America na Ulaya?

Unataka watu tupende siasa ya Tanzania inayochezea uhai wetu?

Watu wanatekwa mchana kweupe..! Tuendelee kufurahia siasa hizo?

Acha wehu basi mkuu
 
Siasa ndiyo kila kitu ktk mustakabali mzima wa maisha yetu wananchi, uwe tajiri, fukara au masikini. ni mpumbavu pekee atakayeona siasa haina umuhimu kwake.
 
Siasa ndiyo kila kitu ktk mustakabali mzima wa maisha yetu wananchi, uwe tajiri, fukara au masikini. ni mpumbavu pekee atakayeona siasa haina umuhimu kwake.
Hizo siasa za upinzani wanakosea kujaza fom wao tu 🚮🚮🚮
 
Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambania Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda.

Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi.

Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema eti siasa haikuhusu. Au tatizo ni elimu tu ya watanzania ya kuhudhuria vyuo tu bila maarifa yoyote. Vyuo kama SAUT hakuna mwenye GPA chini ya 4 lakini kichwani empty.
Unalinganisha hawa chawa na Elon musk?
 
Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambani Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda.

Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi.

Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema eti siasa haikuhusu. Au tatizo ni elimu tu ya watanzania ya kuhudhuria vyuo tu bila maarifa yoyote. Vyuo kama SAUT hakuna mwenye GPA chini ya 4 lakini kichwani empty.
Anaesema hataki siasa, hajielewi,
Kila kitu ni siasa, na, siasa ni, zaidi ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa,
 
Umeshasikia upumbavu kama huo hata hapo kenya tu kwamba kuna kuenguana kwa sababh yoyote ile
Wananchi wakenya ni tofauti na watanzania , kuongoza kenya sio rahisi hata kidogo.
 
CCM ndio wanadanganya na kudumaza watu hivi ili wale vizuri maisha.
 
Kufa sio tatizo je ukifa nini kitabidilika ? Wangap wamekufa na hakuna kitu cha maana?
Mabasiriko ndo kama hayo ya wakenya. Gen z wamekufa wengi baada ya hapa ruto akaufuta mswaada. Kufa kuna faida kwa wengine na ni ibada
 
So you have confirmed that politics is everything. Sasa kwa nini nyie makapuku mkiambiwa muandamane kudai haki zenu m awaona akina mbowe wamechangangikiwa. Shida ni hiyo elimu yako ya Kampala university ya gongo la mboto ambapo hata aliyesoma HGL anasomea udaktari wa binadamu
Hahaha kampala University bhana . Kuna dogo mmoja nilikuwa namuona maskani akajitanabahisha kwamba ni dr. Anakula sana fegi. Tuliwekeana mashart kwamba avutie pembeni. Siku moja mama mmoja aliuguliwa na mtoto usiku( sindano za masaa) nikakutana na yule mama anajiandaa kwenda zahanati. Nikamwambia hapa kwenu jirani kuna dr. Anaweza kuchoma sindano. Nikampigia dogo akaja.wakaingia ndani mara mama anatoka analia. Kumbe dogo kachukua tu lisindano kamchoma yule mtoto bila utaratibu wowote
Mama kastuka kachukua dogo kaondoka nae
 
Back
Top Bottom