Mbona kwingine kama marekani hawako hivyo? Shida hatujajitambua tu ni kwa sababu ya elimu yetu mbovu ya kugombania boom tuTatizo la siasa.
Ukiwa mpinzani utakiona cha moto
Ukiwa chawa mwisho unageukwa unakiona cha moto. Ktk siasa ni kugombania vyeo, alienaacho yupo tayari kukupoteza.
Marekani wanaumiza raia wa nchi nyengine ili wao wanufaike kisiasaMbona kwingine kama marekani hawako hivyo? Shida hatujajitambua tu ni kwa sababu ya elimu yetu mbovu ya kugombania boom tu
Kwa nini nyie msiumize. Au uwezo wa kuumiza ni mdogo na hamuweziMarekani wanaumiza raia wa nchi nyengine ili wao wanufaike kisiasa
Yani ingekua poa sana mambo ya dini yakafutwa kabisa.Siasa inaweza kuchange hata namna yako ya kufikiri, kuishi na familia au kiabudu. Anaweza kuingia madarakani rais akapiga marufuku makanisa au misikiti yote kama ilivyo kwa kim jong un
Hizo siasa za upinzani wanakosea kujaza fom wao tu 🚮🚮🚮Siasa ndiyo kila kitu ktk mustakabali mzima wa maisha yetu wananchi, uwe tajiri, fukara au masikini. ni mpumbavu pekee atakayeona siasa haina umuhimu kwake.
Unalinganisha hawa chawa na Elon musk?Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambania Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda.
Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi.
Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema eti siasa haikuhusu. Au tatizo ni elimu tu ya watanzania ya kuhudhuria vyuo tu bila maarifa yoyote. Vyuo kama SAUT hakuna mwenye GPA chini ya 4 lakini kichwani empty.
Umeshasikia upumbavu kama huo hata hapo kenya tu kwamba kuna kuenguana kwa sababh yoyote ileHizo siasa za upinzani wanakosea kujaza fom wao tu 🚮🚮🚮
Anaesema hataki siasa, hajielewi,Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambani Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda.
Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi.
Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema eti siasa haikuhusu. Au tatizo ni elimu tu ya watanzania ya kuhudhuria vyuo tu bila maarifa yoyote. Vyuo kama SAUT hakuna mwenye GPA chini ya 4 lakini kichwani empty.
Wananchi wakenya ni tofauti na watanzania , kuongoza kenya sio rahisi hata kidogo.Umeshasikia upumbavu kama huo hata hapo kenya tu kwamba kuna kuenguana kwa sababh yoyote ile
Wakenya wana elimi siyo watanzania kama wewe waoga wa kufaWananchi wakenya ni tofauti na watanzania , kuongoza kenya sio rahisi hata kidogo.
Nyie matajiri mmefanya kitu gani tujivunieMakapuku hua hawajui lolote wapo wapo kupelekwa tu,hawana uelewa wa mambo
Tayari mambumbumbu mmekuja kasi kutetea umbumbu wenuNyie matajiri mmefanya kitu gani tujivunie
Hamna,nyoosha maelezo tu..,.kejeli ni umbumbu nao mkuu.Unachoreka ujue🤭Tayari mambumbumbu mmekuja kasi kutetea umbumbu wenu
Kufa sio tatizo je ukifa nini kitabidilika ? Wangap wamekufa na hakuna kitu cha maana?Wakenya wana elimi siyo watanzania kama wewe waoga wa kufa
Mabasiriko ndo kama hayo ya wakenya. Gen z wamekufa wengi baada ya hapa ruto akaufuta mswaada. Kufa kuna faida kwa wengine na ni ibadaKufa sio tatizo je ukifa nini kitabidilika ? Wangap wamekufa na hakuna kitu cha maana?
Hahaha kampala University bhana . Kuna dogo mmoja nilikuwa namuona maskani akajitanabahisha kwamba ni dr. Anakula sana fegi. Tuliwekeana mashart kwamba avutie pembeni. Siku moja mama mmoja aliuguliwa na mtoto usiku( sindano za masaa) nikakutana na yule mama anajiandaa kwenda zahanati. Nikamwambia hapa kwenu jirani kuna dr. Anaweza kuchoma sindano. Nikampigia dogo akaja.wakaingia ndani mara mama anatoka analia. Kumbe dogo kachukua tu lisindano kamchoma yule mtoto bila utaratibu wowoteSo you have confirmed that politics is everything. Sasa kwa nini nyie makapuku mkiambiwa muandamane kudai haki zenu m awaona akina mbowe wamechangangikiwa. Shida ni hiyo elimu yako ya Kampala university ya gongo la mboto ambapo hata aliyesoma HGL anasomea udaktari wa binadamu