Lucas Mwashambwa ww ni mtu maarufu sana hapa jukwaani toa neno...maana soon unaenda kuula kama sio DC longido basi tutakupa ukatibu WA CCM mkoaniLucas Mwashambwa unaitwa huku...mzee wa kububujikwa
Wydad msimu huu ni mdogo ndiyo maana Mzize hajapelekwa huko kwamaana akipelekwa huko hata onekana michuano ya club bingwa AfrikaWydad hayupo je na yeye ni mdogo kuliko yanga???
πNdo ububujikwe na machozi?
Mapema ipi tena? Maana tayari yupo 2nd preliminary round. Azam ndiye aliyetolewa mapemaYanga anatolewa mapema sana
El merreikh ina bahati mbaya sana. Ni kama Gor mahiaTimu zote zinazo anzia ugenini zinapita hisipokuwa hii timu inayo kutana na Fc Rabat.
πππ huko shirikisho pia inaweza isitoboeWe team Ina draw na team iko pungufu plus wachezaji tegemezi 11 hawapo unataka iwe hapo!?
Wydad alitolewa na Nani?For now
Aliyemtoa amepigw5a 5oli ngapi na Yanga?Wydad alitolewa na Nani?