Uchaguzi 2020 Kama TPSF ni wakweli, then, JPM, CCM itashinda ushindi wa kishindo cha ajabu! But for National Unity, TL ateuliwe Ubunge kuwafariji his sympathizers?

Huna jipya Mayalla....unapototezea watu Mbs tu.
 
Tundu Lissu ameshapewa offer ya uteuzi na Rais. Sidhani kama Ubunge ni nafasi inayomfaa, ila nina uhakika Rais alipotoa offer ile alikuwa na nafasi anayoifikiria.

In terms of timing, uteuzi wa Tundu Lissu unatakiwa kuwa angalau miezi 9 baada ya Rais kuapishwa ili usihusishwe kabisa na mwenendo wa uchaguzi.

Hata hivyo, natambua ugumu wa kuwateua wapinzani wetu kutokana na kauli zao za kupinga na kudharau kila kinachofanywa na serikali. Hii ipo pia kwa wafuasi wa upinzani, ndio maana teuzi nyingi serikalini zinafaa kwenda kwa makada wa CCM.
 
hiyo TPSF inafanya kile ITV wanafanya,waandishi wa habari
wanafanya pamoja na sekta nyingine

hata ww P unafunika kombe mwanaharamu apite..

kura ni siri...lakini najua utampigia lisu tena ww na family yako yote
 

Leo kidogo nimekuelewa ingawa wengi hawatakuelewa na imenipasa niingie TPSF ili angalau nipate kujua ni akina nani mwisho nikagundua kuwa ni wafanya biashara...

S/NNAMETITLECLUSTER REPRESENTING
1.Mr. Salum ShamtePast ChairmanRegional Business Association
2.Ms. Angelina NgalulaActing ChairpersonTransport and Logistics
3.Dr. Reginald Abraham MengiPast Chairman
4.Mr. Octavian Elimeny MshiuMemberTrade and Commerce
5.Hon. Silyvestry Francis KokaMemberCorporate
6.Mr. Subash M. PatelMemberManufacturing
7.Dr. Charles Stephen KimeiMemberBanking and Financial Services
8.Mr. Sanjay RughaniMemberServices
9.Mr. Simon Peter ShayoMemberMining and Energy
10.Ms. Jacqueline MkindiMemberAgriculture
11.Mr. Dhruv Ashutosh JogMemberConstruction
12.Ms. Fatuma Abdallah KangeMemberWomen entrepreneur
13.Mr. Abdulsamad AbdulrahimMemberOil and Gas
14.Mr. Toufiq TurkyMemberZanzibar

Dr. Reginald Abraham Mengi Member Past Chairman,

Hiyo hapo juu ni majina ya Board of members na uwakilishi wao na wote ni wafanya biashara wakubwa na baadhi ni wabunge wa CCM kindakindaki,
Nimejaribu kutafuta kikao walichokaa members wote au Board ilipokaa na kuamua uamuzi wa wanachama wao kuamua kumpigia CCM kura zao sijaona na nabaki na mashaka kuwa Acting Exc Director Zachy Mbenna huenda anajaribu kutumia fursa adimu au watakuwa wakweli kwani AGM ilikuwa ifanyike September 2020

Ikumbukwe pia kuwa Board of membwers automatically huwa wanachama wa Tanzania National Business council ambapo Rais huwa Mwenyekiti wake,

Sasa anza kujiuliza chemistry ya hii TPSF ni nini hasa japo ingawa sio mbaya ukapata kitu kidogo kutoka kwa gazeti la The Citizen kwa kuangalia Incident hii iliyompata Ex Director wao...

But, the credible source told The Citizen yesterday that Mr Simbeye who served the post since 2012, was forced to resign by the Board since last two months following the arrest of the TPSF's Chairperson Salum Shamte.

"TPSF Board is everything. Since Shamte got involved in scandals, the Board had been forcing him to resign on the grounds that the foundation wanted changes. He wrote the resignation letter since December last year and it was approved recently," said the source.

TPSF BOARD IS EVERY THING !
 
Ndugu yangu ID yako inaonyesha wewe ni mbabe kweli. Maana unajibu hoja kibabe. Wait and see time will tell. Mwezi wa 11 tutarudi tena hapa na story tofauti kabisaa.
Nimemnukuu mbabe wenu Tundu Lissu... haya si maneno yangu asilani!
 

Ww kama ww kwa unguli wako wa uandishi wa Habari je unaona hayo waliyosema wanauhalisia na maisha ya ndugu zako huko kijijini?
 
Brother pole sana, mimi nakuelewa umeyanena haya sababu ya ukada ila kiukweli meza imepinduka. Only thing cha kuhofia kwenu ni je baada ya kura, wananchi watareact vipi?????? Lakini jamaa ameshapoteza uhalali kwa wananchi. Yangu ni hayo tu.

Sema kaka Paschal this ukada thing doesnt suit you wallah, you were born for another cause si hii role ya sasa. Nakuombea urudi ktk ubora wako ili heshima yako irudi ya kuwa mtu wa haki. Stay blessed .
 
Sawa poti tumekuelewa.
 
Umeongea mengi ! Ila umesahau "Tume Huru ya Uchaguzi" wimbo ambao CCM wamewejaza nta masikioni na hawataki kuusikia
 
Paskal acha unafiki sisi ni watu wazima na tunaelewa kila kitu kinachoendelea , hao TPSF ndiyo waathirika wakubwa wa utawala huu wa Magufuri. Kumbuka Magufuri aliwahii kuwaambia wataishi kama mashetani na baadhi yao walienda jela na walifanikiwa kutoka baada ya kutoa pesa. Nchi imegeuka kama kituo cha Polisi " kuingia bure kutoka mpaka ukubali kutoa fedha " sitawataja hao wafanyabiashara sabb ya usalama wao.

Paskali hakuna mwenye uwezo wa kunoa panga litakalokuchinja mwenyewe, hao wafanyabiashara yaliyowakuta sidhani kama yupo anayemuhitaji Magufuri. Wewe tulia tumebakisha wiki moja mbivu na mbichi tutaziona tarehe 28/10/2020. Magufuri yeye ajiandae kuiba kura asipofanya hivyo ikulu ataikumbuka akiwa chato. Kumbuka kura ni siri ya mtu
 
Mkuu umeandika vizuri, japo kuna sehemu ulitaka kuegemea upande wa chama chako lkn umejitahidi kubalance. Sasa ngoja nijibu hoja zako kama ifuatavyo...

[emoji117]kuna hii watu wanaenda kuangalia muujiza, hii hoja inashadidiwa na CCM wengi, lakini tujiulize TUNDU LISSU kuna maeneo kaenda mara 2 mpaka 3, sasa hawa watu hawachoki tu kuungalia huu muujiza? Inakuwaje Tundu Lissu apate watu wengi kiasi kile zaidi ya mara 1,kwa eneo lile lile halaf tuseme wanaangalia muujiza?

[emoji117] "Body language " Kaka una akili zaidi hii uliyoitumia hapa, je body language ya watu wanaoenda kuangalia muujiza inakuwaje ? , unaweza pia kuwa mtaalam wa emotional intelligence, je wale watu wanavyoonekana ni sahihi wanashangaa ? . mtu anayeshangaa na watu wanaoonesha hisia za kumkabali mtu body language zao ni tofauti kabisa, wangekuwa wanashangaa basi tusingeona shamrashamra zile.

[emoji117] "Social media " kama ni kushanga muujiza, kwa nini Tundu Lissu anaongoza kufatiliwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube ? , jipe kazi anaglia clip zake zote, nyingi zimefika views zaidi ya 100k, je watu bado, waanangali muujiza hadi YOU tube?

[emoji117]TPSF, kweli TPSF inawakilisha makundi mengi, lakini wew mwenyew umeeleza Kama walifanya AGM yoyote ili wajadili hizo political resolutions, jibu hapana. Je TPSF watawazidi umaarufu kisiasa akina Lowasa, sumaye, silinde, lijua likali , na wengine wengi waliohamia CCM ili kudhoofisha upinzan ?. Maana hizi hama hama, kila mtu alijua zingebadili upepo kabisa, either wananchi wengi kuhamia CCM au kukata tamaa na siasa za upinzni.

[emoji117]Sera, mimi nasoma sana makala zako humu , kuna siku naweza pitia hata za miaka 3 nyuma, inaama nakubal how intelligent you are uncle. Je umeshindwa kuona SERA za Tundu Lissu au umeamua kutoziona ?. Sera yake ni Haki, uhuru na maendeleo ya watu amabayo ameielezea sana, na ndio Watu waliyovutiwa nayo ndio maana anapata watu wengi kweny mikutano, kwa sababu anazungumza lugha yao.

[emoji117]Mwisho, Lissu lazima afoke vile, lazima atishie vile, kwa nini ? sababu zipo wazi, " he gives his voters hope to vote massively " it is no doubt,kila mtu alijua hamna uchaguzi, kwa hiyo ili uwarudishe watu kweny kupiga kura, lzm uwahahakikishie uhakika wa kura zao kuheshimiwa na kuamua nani awe Kiongozi.
 
Lissu hata kuteuliwa ubunge hafai, nani amteue wakati kutwa kucha ni kubeza kila kitu. Atateuliwa na kina Robert Amsterdam na Mbowe wa saccos. Watanzania wazalendo, tunakwenda na JPM.
Mkuu LISSU hafai kuwa RAISI ila kuteuliwa ubunge au kuwa mbunge ni jambo jema kwa watanzania wote kiujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…