2500Kama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro
Hii iko chini ya ardhi.......
View attachment 3285146
Kwa utashi upi wa kisiasa labda kwa mkopo kutoka kwa babu na aamue kuwabeba zaidi ya wana wa IsraeliKesho kutwa.
Japan is a next levelKama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro
Hii iko chini ya ardhi.......
View attachment 3285146
jioni hii saa 5 usiku itakuwa imetanda dar nzima...temeke, kinodnoni, ilala etc etcKesho kutwa.
hatujashindwa mwendo kasi,mambo ni taratibuKama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro
Hii iko chini ya ardhi.......
View attachment 3285146
Ebu usitutafutie matatizo ndugu yangu!Kama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro
Hii iko chini ya ardhi.......
View attachment 3285146
Kwani haujasikia madudu yaliyofanyika mwaka huu aliyoyasema CAG hakuna mwaka wameiba kama mwaka huuKama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro
Hii iko chini ya ardhi.......
View attachment 3285146
Uliza tanga wewe unataka yote yafanywe dar tu....Kama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro
Hii iko chini ya ardhi.......
View attachment 3285146
Dar ndio Hub au Mwanza sasa mkipeleka Tanga ambayo ina Watu wachache na hakuna hata msingamano hivi mnaakili kweli nyie Uvccm?!Uliza tanga wewe unataka yote yafanywe dar tu....
Kwa akili yako ndio umejibu hapa.....Dar ndio Hub au Mwanza sasa mkipeleka Tanga ambayo ina Watu wachache na hakuna hata msingamano hivi mnaakili kweli nyie Uvccm?!
Au mnaihujumu hii Nji?!