Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Mama apewe mitano tena 😃😃Hiyo project ya Metro ipo kwenye Ilani ya CCM tuwachague tena.
Mama apewe mitano tena 😃😃Hiyo project ya Metro ipo kwenye Ilani ya CCM tuwachague tena.
Akiona hii mzee Wasira tumekwisha ,atakwambia ipo kwenye ilani ya ccm ,mzee anaongopa sanaKama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro
Hii iko chini ya ardhi.......
View attachment 3285146
kama yapi?Ebu usitutafutie matatizo ndugu yangu!
Kama hamjashindwa kwa nini hamleti mabasi ya mwendokasi kibaha?hatujashindwa mwendo kasi,mambo ni taratibu
Unadhani ni kwanini iko ivyoMwendokasi ni serikali haijatoa kipaumbele TU ila ni bonge la mradi la kujivunia ambayo serikali ingekua inatamba nayo
DMT = Dar es Salaam Motor Transport - hatukushindwa. Ililiwa na UDA. UDA haikupaswa kuuliwa, ilitakiwa TUIENDELEZE na kukua nayo. Leo hii ingekua kitu ya manufaa, ya kwetu tunaoijua na kuimudu! Leo hii Tokyo Met wanaendesha Elizabethan Line ya London Underground ili kuipatia ufanisi kama walio nao kule Japan. Inaonekana sasa kwamba sisi ni kuua na kuanza upya all the time. Huko ndo kwenye mipesa ya 'kupiga'! Unajjibia mwenyewe nyumbani kwako upeleke wapi mlaaniwa wewe?Kama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro
Hii iko chini ya ardhi.......
View attachment 3285146
well narrated. Ys London wamewakandarsi Tokyo wawasaidie kundesha hizo line zao za undefround!DMT = Dar es Salaam Motor Transport - hatukushindwa. Ililiwa na UDA. UDA haikupaswa kuuliwa, ilitakiwa TUIENDELEZE na kukua nayo. Leo hii ingekua kitu ya manufaa, ya kwetu tunaoijua na kuimudu! Leo hii Tokyo Met wanaendesha Elizabethan Line ya London Underground ili kuipatia ufanisi kama walio nao kule Japan. Inaonekana sasa kwamba sisi ni kuua na kuanza upya all the time. Huko ndo kwenye mipesa ya 'kupiga'! Unajjibia mwenyewe nyumbani kwako upeleke wapi mlaaniwa wewe?
Kama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro
Hii iko chini ya ardhi..
Mitano tenaKama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro
Hii iko chini ya ardhi.......
View attachment 3285146
Kama mipango miji na Maghorofa tu tunatushindwa kusimamia, sasa ndo utuletee mradi wa underground metros tena kwa benchmark ya Tokyo, Japan?kama yapi?