Kama tumeshindwa mwendokasi, unadhani ni baada ya miaka mingapi Dar Es Salaam itakuwa na metro kama hii ya Tokyo?

Kama tumeshindwa mwendokasi, unadhani ni baada ya miaka mingapi Dar Es Salaam itakuwa na metro kama hii ya Tokyo?

Kama mipango miji na Maghorofa tu tunatushindwa kusimamia, sasa ndo utuletee mradi wa underground metros tena kwa benchmark ya Tokyo, Japan?
Tunahitaji zaidi ya karne 2 ndugu yangu.
sure, miaka kama 500 ijayo
 
tusubiri miujiza ya tapeli Mwamposa and Co. Ltd
1743146133457.png
 
Karibu hivyo?

Kwa kizazi kipi?

Kwa sera ipi ya elimu? Hii ya mtaala mpya wanafunzi secondary kutakiwa kufundishwa Kwa kiswahili masomo yote na kingereza kibaki kama somo?

Au Kwa sera ya PM Majaliwa wasomi wa degree waende VETA?
 
Tumevipiga vita,

Tumevipiga vita,

Vilivyo vizuri,

Mwendo, mwendo

Tumeumaliza, imani tumeilinda,

Mwendo tumeumaliza imani tumeilinda,
 
Mleta mada bwana, hivi kweli kwa Tanzania hii e.g Dar es salaam ichibwe chini kwa ajili ya Metro, walahi asubuhi tukiamka dar yote itakua imetitia, achana na metro. Hiyo tuachie vizazi vya vilembwe vyetu labda.
 
Mama Samia ni mtu makini sana na sitanii ndani ya hii miaka hii mitano mama yetu kipenzi atatuwekea Metro kama hiyo ya Japan pale Dodoma. Kwani mmesahau kuwa siku hizi tumewazidi uchumi Marekani na Canada? Mama anawatoa hofu Msiwe na shaka, unachopaswa kufanya ni kumpa tu mama kura yako
SAMIA MITANO TENA 🔥🔥
 
Ona hapo chini ni Berlin ya 1959 ina double roads za nguvu hlf jiulize imetuchukua miaka mingapi kufika apo. Tuendelee kucheza bonge la dada.
Screenshot_20250701-215421_YouTube.jpg
 
Ujerumani ilibomolewa kwenye vita vya pili vya dunia. Miaka 20 tu baada vita kumalizika walikuja kuwa miongoni mwa wafadhili wetu.
 
Back
Top Bottom