Kama tumeshindwa mwendokasi, unadhani ni baada ya miaka mingapi Dar Es Salaam itakuwa na metro kama hii ya Tokyo?

Chini ya CCM, nchi haiwezi kutengeneza hata vijiti vya kutolea nyama kwenye meno, wewe unaongelea barabara za chini ya ardhi!!
Chini ya CCM, ni bora kumekucha.

CCM kitu pekee ilichofanikiwa na kuwekeza nguvu zake zote ni kwenye kuteka na kuua watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…