Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanadamu hawajakamilika kutokana na choices..... Mungu amewapa uhuru wa kufanya mema au mabaya.... kwa upande mwingine sisi tunakuwa na weakness ambazo zinatufanya tusikamilike..Kiimani na hata mahala pengi tu utawasikia Watu wakisema kwamba Mwenyezi Mungu hakosei, hajakosea na kwamba huwa hakosei na wengi wetu ama Kiuwoga au ' Kimbumbumbu ' tu au kwa kuwa wa ' hovyo hovyo ' katika Kufikiri tayari tumeshaaminishwa hivyo.
Sawa kama kweli Mungu hakosei sasa inakuwaje kila mara huwa tunaisikia hii Kauli ambayo nainukuu hapa " Hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, Mwezi au Dunia hii ". Je hapa tushike lipi au tuelewe lipi?
Na kama Wote tunakiri kwamba Mwenyezi Mungu hakosei katika ' Uumbaji ' wake na Sisi Wanadamu ni mfano wake tosha iweje tena leo tunasema hadi kwa msisitizo kabisa kwamba Binadamu wote hatujakamilika?
Tujadili na Karibuni katika huu ' mjadala ' ambao nawahitaji tu wale ambao wamebarikiwa Critical Thinkig na Logical Reasing ya kutosha wachangie na nimetahadharisha mapema tu katika ' Headline ' kama unajijua au kujihisi huna huo uwezo tafadhali tusichoshane na pita zako tu mia.
Nawasilisha.
Wewe na wale wliosema binadamu ametokana na nyani, hamna utofauti, kiukweli kiburi cha uzima ni mbaya sna.Kiimani na hata mahala pengi tu utawasikia Watu wakisema kwamba Mwenyezi Mungu hakosei, hajakosea na kwamba huwa hakosei na wengi wetu ama Kiuwoga au ' Kimbumbumbu ' tu au kwa kuwa wa ' hovyo hovyo ' katika Kufikiri tayari tumeshaaminishwa hivyo.
Sawa kama kweli Mungu hakosei sasa inakuwaje kila mara huwa tunaisikia hii Kauli ambayo nainukuu hapa " Hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, Mwezi au Dunia hii ". Je hapa tushike lipi au tuelewe lipi?
Na kama Wote tunakiri kwamba Mwenyezi Mungu hakosei katika ' Uumbaji ' wake na Sisi Wanadamu ni mfano wake tosha iweje tena leo tunasema hadi kwa msisitizo kabisa kwamba Binadamu wote hatujakamilika?
Tujadili na Karibuni katika huu ' mjadala ' ambao nawahitaji tu wale ambao wamebarikiwa Critical Thinkig na Logical Reasing ya kutosha wachangie na nimetahadharisha mapema tu katika ' Headline ' kama unajijua au kujihisi huna huo uwezo tafadhali tusichoshane na pita zako tu mia.
Nawasilisha.
Unawazungumziaje watu waliozaliwa na hormone imbalance , unazungumziaje mapacha walioungana ,unazungumziaje watu waliozaliwa na viungo nusu nusu ,unazungumziaje watu walio zaliwa na jinsia mbili kwa pamoja?Hakuna binadamu aliekamilika hiyo kauli ni sawa na hii ya "mgaa gaa na upwa hali wali mkavu" zote hizi ni kauli za wahenga tu.Hivyo zipuuze tu!
Mungu katuumba kwa ukamilifu mkubwa saana maana kama matako angeyaweka kifuani tungesema kakosea sababu hatuwezi kukaa comfortably but akayaweka pale nyuma yakiwa na nyama nyama mfano wa spongy sehemu sahihi kabisa ili tukae comfortably na tukiona anayo mbebe tunamsifu kwa kuyaita "Neema za Allah " tuyaite msambwanda kwa lugha za majanki.
God is the best designer ever.
Hoja dhaifuTulipewa upungufu ili kujifunza. Ukiwa umekamilika huna haja ya kujifunza
Hoja dhaifu
We ni me au ke?Nadhani nilionya mapema tu kwamba kama unajijua Wewe Kichwani ' hazipo ' na ' hazikutoshi ' tafadhali usichangie huu ' Uzi ' matokeo yake naona umeleta ' pua ' yako hapa. Siku za Jumapili huwa sipendi kuwajibuni vibaya ila nadhani utanilazimisha niuvunje rasmi huu utaratibu halafu hutofurahia. Shauri yako!
Hapa ndipo wengi mnapochengana na Mungu maana mnataka maswali yenu ya physical yajibiwe spiritually wakati hivi vitu vya physically vinaanzia rohoni kwanza. Je mnafahamu chochote juu ya spiritual revelation? Maana kabla ya kuja mwilini mna lolote mnalolijua juu ya supernatural world? Au mmeng'ang'ania tu kwenye physical world kwenye malogic na facts ya akina Aristotle kusiko na ukweli wowote kuhusu maisha ya rohoni?Unawazungumziaje watu waliozaliwa na hormone imbalance , unazungumziaje mapacha walioungana ,unazungumziaje watu waliozaliwa na viungo nusu nusu ,unazungumziaje watu walio zaliwa na jinsia mbili kwa pamoja?
Wewe jamaa haujui unasimamia upande upi.Hapa ndipo wengi mnapochengana na Mungu maana mnataka maswali yenu ya physical yajibiwe spiritually wakati hivi vitu vya physically vinaanzia rohoni kwanza. Je mnafahamu chochote juu ya spiritual revelation? Maana kabla ya kuja mwilini mna lolote mnalolijua juu ya supernatural world? Au mmeng'ang'ania tu kwenye physical world kwenye malogic na facts ya akina Aristotle kusiko na ukweli wowote kuhusu maisha?
Ni sawa na yai la kuku linapovunjika na nguvu ya kulivunja ikatokea nje basi huo ndio utakuwa mwisho wa uhai wa hilo yai..lakini nguvu la kulivunja hilo yai ikitokea ndani basi ndio mwanzo wa uhai na kifaranga utotolewa na maisha huanzia hapo. Je unaelewa kwanza nguvu ya ndani ya binadamu? Spiritual awakening? Huwezi kuelewa ndio maana unatumia logic and facts za physical.
Kwa vile huko mwilini zaidi... Nakushauri ujifunze spiritual arguments ili tutembee barabara moja.
Kiranga kawaharibu sana! Mnafuata tu mkumbo wake....mnakuwa wabishi na wajuaji msiojielewa.
Msemo wa hakuna aliyekamilika ni msemo wa kipagani. Kila binadamu ni mkamilifu mbele ya muumba ispokuwa kila mtu ni wa kipekee "unique". Hakuna anayeweza kufanana na mwingine kimaumbile, kitabia , hulka nk. Tunaposhindwa kuheshimu mpango wa Mungu wa kuumba watu tunaotofautiana nao ndipo tunatunga misemo kama hiyoKiimani na hata mahala pengi tu utawasikia Watu wakisema kwamba Mwenyezi Mungu hakosei, hajakosea na kwamba huwa hakosei na wengi wetu ama Kiuwoga au ' Kimbumbumbu ' tu au kwa kuwa wa ' hovyo hovyo ' katika Kufikiri tayari tumeshaaminishwa hivyo.
Sawa kama kweli Mungu hakosei sasa inakuwaje kila mara huwa tunaisikia hii Kauli ambayo nainukuu hapa " Hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, Mwezi au Dunia hii ". Je hapa tushike lipi au tuelewe lipi?
Na kama Wote tunakiri kwamba Mwenyezi Mungu hakosei katika ' Uumbaji ' wake na Sisi Wanadamu ni mfano wake tosha iweje tena leo tunasema hadi kwa msisitizo kabisa kwamba Binadamu wote hatujakamilika?
Tujadili na Karibuni katika huu ' mjadala ' ambao nawahitaji tu wale ambao wamebarikiwa Critical Thinkig na Logical Reasing ya kutosha wachangie na nimetahadharisha mapema tu katika ' Headline ' kama unajijua au kujihisi huna huo uwezo tafadhali tusichoshane na pita zako tu mia.
Nawasilisha.
Sibishanagi kuhusiana na Dini.Wewe jamaa haujui unasimamia upande upi.
Huko juu umeanza kusema Mungu anaumba binadamu na hakosei kila kitu kinakaa mahala pake na ukatolea mfano makalio ,
Sasa hapo nimekutolea cases tofauti tofauti ambazo watu wanazaliwa wamekosewa.
Acha kututisha bwanaWewe na wale wliosema binadamu ametokana na nyani, hamna utofauti, kiukweli kiburi cha uzima ni mbaya sna.
Wapi nimesema simuamini Mungu?Sibishanagi kuhusiana na Dini.
Baki na msimamo wako..niache na msimamo wangu. Nasikitika kwa vile sina muda wa kuchezea.
Namuamini Mungu sana, na wewe endelea kutomuamini Mungu Sana. simple as that!
Haya maswali ni dalili za ubishi na ujuaji maandazi.Wapi nimesema simuamini Mungu?