Mkuu
ankai kama kuna viumbe ambao hata malaika walikuwa wanatuonea donge ni sisi binadamu maana sisi ndio viumbe pekee tuliobarikiwa kuishi mwilini na rohoni kwa wakati mmoja. Ila hakuna malaika aliwahi kuonja mwili huu wa damu na nyama. Kwa hiyo kuhisi in physical form ni Baraka kwetu sisi binadamu.
Pia anaposema ametuumba kwa mfano wake ni kwa sababu yeye ni nishati na sisi ni nishati. Hivyo sisi tumebarikiwa maana tuna source of our energy ambae ni yeye master of the people. Hakuna maana nyingine zaidi ya hapo.
Let's give him thanks and praises mkuu.