soine
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,113
- 2,329
Tujadili na Karibuni katika huu ' mjadala ' ambao nawahitaji tu wale ambao wamebarikiwa Critical Thinkig na Logical Reasing ya kutosha wachangie na nimetahadharisha mapema tu katika ' Headline ' kama unajijua au kujihisi huna huo uwezo tafadhali tusichoshane na pita zako tu mia.
Kwa paragraph hii umefunga watu wenye hoja zenye mashiko kwa kujinasibu kuwa unahitaji hoja zinazofanana na jinsi ambavyo mara nyingi umekuwa ukijiuza. Utafiti mzuri haubagui, bali hujikita kwenye kuchambua hoja zinazotoka vyanzo mbalimbali wakati mwingine bila kujali ni nani katoa hoja.
Pia, kumbuka some of the great philosophers and inventors ktk dunia hii, waliwahi kuwa "reject" somewhere else.