Kama tunaaminishwa kuwa Mungu hakosei inakuwaje hakuna kiumbe mkamilifu chini ya jua?

Kama tunaaminishwa kuwa Mungu hakosei inakuwaje hakuna kiumbe mkamilifu chini ya jua?

Hivi kwa nini aliamua tundu mbili za pua zetu zielekee chini wakati tumesimama huku akijua kabisa chini kuna vumbi na kwa 'bouyancy rule' hewa inayopanda inaweza kuingiza vumbi hilo kwenye pua? (Hapa si kosoi uumbaji hata kidogo, na mimi nakubaliana na Humble African kuwa Mungu ni fundi sanifu mzuri kuliko kila kitu kuwahi kuwepo). Hili ni swali la udadisi tu...! Hivyo intel walioitwa hapa nisadie nielewe hili katika 'engineering design perspective' ama namna nyingine inayofaa bila kuhoji Uwezo wa Mungu.
Kwa biology yangu ya form 2 mkondo B.

Mule ndani ya pua katengeneza vinyweleo vya aina zaidi ya 10 vyenye uwezo wa ajabu wa kuchuja vumbi kwa ufanisi wa hali ya juu zaidi na haliwezi kufikia na kudhuru ubongo. Huu ni ushindi mkubwa maana alijua vumbi litamsumbua binadamu.

He is still the best designer ever.
 
Uyu Humble nimemwambia namuelewa kwa maneno uake mengi anayoyasema yani maandishi meeengi lkn fact zinakosekana ndo mana nikamuuliza kama anaweza kuthibitisha aakshindwa akaishia kuniambia kuwa inabidi niingie kwenye imagnation ndo ntamuona mungu sasa wewe ulivyo changia ndo nkakuuliza mkuu unaweza kuyadhihirisha yale uliyo yasema???
Labda ungeweka bayana kati ya vitu vipi alivyo zungumza(maana ni vingi kazungumza)

Ambavyo wewe labda unahitaji uhakika kwavyo.
 
Best designer wakati viumbe vyake ni vidhaifu kupitiliza? Baada ya kuumba alisema"tazama kila kilichoumbwa ni chema", all of a sudden hicho kitu chema kimekuwa dhaifu kuliko maelezo.
Je wewe Eli79 unajiona upo mdhaifu?Hufurahii kazi ya mungu katika kukuumba wewe? Ulitamani uumbwaje ili umtukuze Mungu?
 
Labda ungeweka bayana kati ya vitu vipi alivyo zungumza(maana ni vingi kazungumza)

Ambavyo wewe labda unahitaji uhakika kwavyo.
TENA ZAIDI ZAIDI NI UKUU NA UPENDO
 
Mungu ni Perfect wala hakosei hiyo misemo uliyoweka ni ya kibinadamu tu.

Mungu hafi kama ilivyo kwa binadamu wengine.

Ni kama alivyokua binadamu wa kawaida Elia na Enock kwani anaenda Mbinguni bila kosa.

Ni kwamba ni mpango wa Mungu usitende dhambi ila kwa kua miili yetu hii mara nyingi ipo kinyume na matendo ya Mungu.

Nimalizie kama walivyokua hao kina Enock na hata leo wapo hapa duniani ni Kusali kila siku kila saa.
 
Binadamu hawajakamilika
Ndiyo awajakamilika
Mungu alvotaka kutuumba sisi hivi ingekuwaje binadamu kama. Mngepewa ukamilifu? Hali hii amjapewa mnafanya balaa duniani?

Kutikamilika kwako n kwamba dhaifu umeumbiwa ule na ukikosa kula utakufa, umeumbiwa maradhi hata ujilinde vp lazma uumwe na ajakuacha bure ukiwa unaumwa mungu anakupunguzia madhambi yako wkt uko kitandani,

Umeumbiwa usingizi ulale na uwez kukosa kulala maishan mwako.

Pia ili ujue pia ujakamilika kweli hakuna alokamilidha even maisha ya hapa duniani.

Mungu hakosoi wala ajakosea ametaka kukuumba ww kichaaaa unayemjaji hapa ulimwenguni ili kuonesha yeye n mjuz wa yalvofcha na ya dhahiri...

Leo unamjaji pumbavu go to hell
 
Mungu ni Perfect wala hakosei hiyo misemo uliyoweka ni ya kibinadamu tu.

Mungu hafi kama ilivyo kwa binadamu wengine.

Ni kama alivyokua binadamu wa kawaida Elia na Enock kwani anaenda Mbinguni bila kosa.

Ni kwamba ni mpango wa Mungu usitende dhambi ila kwa kua miili yetu hii mara nyingi ipo kinyume na matendo ya Mungu.

Nimalizie kama walivyokua hao kina Enock na hata leo wapo hapa duniani ni Kusali kila siku kila saa.
God is divine energy.. Na energy ina nature moja ...energy according to the greatest scientist Albert Einstein. Sayansi inakiri "energy can neither be created nor destroyed it can only be transferred from one source into another source"

We are human being.. We are energy too..we have our bigger source. God.

He never slumber.

God will never die!
 
Kiimani na hata mahala pengi tu utawasikia Watu wakisema kwamba Mwenyezi Mungu hakosei, hajakosea na kwamba huwa hakosei na wengi wetu ama Kiuwoga au ' Kimbumbumbu ' tu au kwa kuwa wa ' hovyo hovyo ' katika Kufikiri tayari tumeshaaminishwa hivyo.

Sawa kama kweli Mungu hakosei sasa inakuwaje kila mara huwa tunaisikia hii Kauli ambayo nainukuu hapa " Hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, Mwezi au Dunia hii ". Je hapa tushike lipi au tuelewe lipi?

Na kama Wote tunakiri kwamba Mwenyezi Mungu hakosei katika ' Uumbaji ' wake na Sisi Wanadamu ni mfano wake tosha iweje tena leo tunasema hadi kwa msisitizo kabisa kwamba Binadamu wote hatujakamilika?

Tujadili na Karibuni katika huu ' mjadala ' ambao nawahitaji tu wale ambao wamebarikiwa Critical Thinkig na Logical Reasing ya kutosha wachangie na nimetahadharisha mapema tu katika ' Headline ' kama unajijua au kujihisi huna huo uwezo tafadhali tusichoshane na pita zako tu mia.

Nawasilisha.
Nakujibu kiufupi na kirahisi,

ULICHOOANDIKA NA UNACHOULIZA HAKIPO NA HAKITA KAA KIPATIKANE.

KUKOSEA AU KUTOKUKOSEA KWA MUNGU HAKUJULIKANI NA BINADAMU.

My take, wanafilosophia na teolojia kwenye metaphysics inasema MUNGU HAFIKIRI/NOT REASONING (GOD IS IRRATIONAL).
 
Mungu hapatikani kwenye logical and critical thinking Mungu anapatikana kwenye spiritual awakening.

Maana yeye ni roho na sio physical being. Sasa sisi binadamu tunamtafuta na kumquestion in a physical being ambako hayupo huko. Muhimu ni kuingia rohoni na kumsaka zaidi, anapatikana huko sababu yeye ni omnipresent. He is divine energy.

Ndio maana kiranga anawagaraza watu wa Dini sababu yeye ana argues more physical kwenye facts, logic and rational than spiritual realms the truest of all truth.
Mkuu umemjibu vyema sana!
 
Binadamu aliyekamilika ni yule mwenye mapungufu mkuu
ukiona binadamu hana mapungufu ujue huyo hajakamilika
na binadamu asiye na mapungufu ambaye hajakamilika
bado kutokea......
 
Duuuh! Bahati mbaya sina Logical Reasing ningechangia.
 
Kiimani na hata mahala pengi tu utawasikia Watu wakisema kwamba Mwenyezi Mungu hakosei, hajakosea na kwamba huwa hakosei na wengi wetu ama Kiuwoga au ' Kimbumbumbu ' tu au kwa kuwa wa ' hovyo hovyo ' katika Kufikiri tayari tumeshaaminishwa hivyo.

Sawa kama kweli Mungu hakosei sasa inakuwaje kila mara huwa tunaisikia hii Kauli ambayo nainukuu hapa " Hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, Mwezi au Dunia hii ". Je hapa tushike lipi au tuelewe lipi?

Na kama Wote tunakiri kwamba Mwenyezi Mungu hakosei katika ' Uumbaji ' wake na Sisi Wanadamu ni mfano wake tosha iweje tena leo tunasema hadi kwa msisitizo kabisa kwamba Binadamu wote hatujakamilika?

Tujadili na Karibuni katika huu ' mjadala ' ambao nawahitaji tu wale ambao wamebarikiwa Critical Thinkig na Logical Reasing ya kutosha wachangie na nimetahadharisha mapema tu katika ' Headline ' kama unajijua au kujihisi huna huo uwezo tafadhali tusichoshane na pita zako tu mia.

Nawasilisha.
Mungu amekuumba wewe katika mfano wake yeye na si katika matendo yake yeye, Mungu hakumuumba binadamu na matendo, matendo ni utashi binafsi na hapo ndipo tusemapo hakuna binadamu aliyekamilika, maneno haya husemwa na binadamu si Mungu. Binadamu alipoumbwa aliumbwa amekamilika kwa viungo vyake jinsi vilivyo kwa wakati husika, lakini pia tulipewa mamlaka ya kuamua jema na baya ili tuitawale dunia na vilivyomo pia tumuabudu yeye aliyetuumba. Kosa ulitendalo ni lako wewe si lake yeye, yeye alikupa mema uyatende na si vinginevyo.
 
Hakuna binadamu aliekamilika hiyo kauli ni sawa na hii ya "mgaa gaa na upwa hali wali mkavu" zote hizi ni kauli za wahenga tu.Hivyo zipuuze tu!

Mungu katuumba kwa ukamilifu mkubwa saana maana kama matako angeyaweka kifuani tungesema kakosea sababu hatuwezi kukaa comfortably but akayaweka pale nyuma yakiwa na nyama nyama mfano wa spongy sehemu sahihi kabisa ili tukae comfortably na tukiona anayo mbebe tunamsifu kwa kuyaita "Neema za Allah " tuyaite msambwanda kwa lugha za majanki.

God is the best designer ever.
Mfano wako si sahihi, binadamu huishi kulingana na alivyo, wapo watu wnaokula chakula na kufanya shughurl zao kwa kutumia miguu kwani hawana mikono, hivyo nasi tungeweza kukaa na tusingeona tofauti.
 
We jamaa unafurahisha sana Kwa kujiona your to intelligence kumbe hakuna kitu kichwani ,Ila Kwa kukusaidia tu mungu aliseme hakuna mtimilifu isipokua yeye tu na hata watakatifu walisema hivyo kumuusu mungu kuwa wewe pekee ndiyo mtimilifu hakuna mwingine kama wewe sasa ukitaka mungu afanye kiumbe kitimilifu basi itabidi amuumbe mungu sawa sawa na yeye
Ha ha ha!
 
Mfano wako si sahihi, binadamu huishi kulingana na alivyo, wapo watu wnaokula chakula na kufanya shughurl zao kwa kutumia miguu kwani hawana mikono, hivyo nasi tungeweza kukaa na tusingeona tofauti.
Huo ndio ukuu wa Mungu.Akifunga mlango mmoja basi atakufungulia mwingine.
Kuna mwanariadha wa Africa Kusini hana miguu lakini aliweza kushinda medali ya dhahabu kwa kutumia miguu ya Bandia.Natumaini unamkumbuka Pistorius.
Uumbaji wa Mungu hauna makosa.
 
Hakuna binadamu aliekamilika hiyo kauli ni sawa na hii ya "mgaa gaa na upwa hali wali mkavu" zote hizi ni kauli za wahenga tu.Hivyo zipuuze tu!

Mungu katuumba kwa ukamilifu mkubwa saana maana kama matako angeyaweka kifuani tungesema kakosea sababu hatuwezi kukaa comfortably but akayaweka pale nyuma yakiwa na nyama nyama mfano wa spongy sehemu sahihi kabisa ili tukae comfortably na tukiona anayo mbebe tunamsifu kwa kuyaita "Neema za Allah " tuyaite msambwanda kwa lugha za majanki.

God is the best designer ever.
Umemaliza Mkuu.
 
Kiimani na hata mahala pengi tu utawasikia Watu wakisema kwamba Mwenyezi Mungu hakosei, hajakosea na kwamba huwa hakosei na wengi wetu ama Kiuwoga au ' Kimbumbumbu ' tu au kwa kuwa wa ' hovyo hovyo ' katika Kufikiri tayari tumeshaaminishwa hivyo.

Sawa kama kweli Mungu hakosei sasa inakuwaje kila mara huwa tunaisikia hii Kauli ambayo nainukuu hapa " Hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, Mwezi au Dunia hii ". Je hapa tushike lipi au tuelewe lipi?

Na kama Wote tunakiri kwamba Mwenyezi Mungu hakosei katika ' Uumbaji ' wake na Sisi Wanadamu ni mfano wake tosha iweje tena leo tunasema hadi kwa msisitizo kabisa kwamba Binadamu wote hatujakamilika?

Tujadili na Karibuni katika huu ' mjadala ' ambao nawahitaji tu wale ambao wamebarikiwa Critical Thinkig na Logical Reasing ya kutosha wachangie na nimetahadharisha mapema tu katika ' Headline ' kama unajijua au kujihisi huna huo uwezo tafadhali tusichoshane na pita zako tu mia.

Nawasilisha.
Mwanadamu hajakamilika sababu Mungu alitaka asikamilike na akafanikiwa kumfanya asikamilike hivyo Mungu hajakosea kwa kutokamilika kwa mwanadamu sababu ndio takwa lake. Pengine angekamilika angekuwa Mungu pia sasa jiulize miungu wote hawa tungeishije? ndio maana tunabaki kuwa mfano tu kama ilivyo picha ya mwanadamu ni mfano wa mwanadamu lkn haiwezi kamwe kuwa mwanadamu inabaki kuwa haijakamilika kwa kulinganisha na mwanadamu halisi.

Tunasema Mungu hakosei sababu tunaamini ndie alieumba universal yaani mpangilio wa sayari zote jua na kilakitu kilichopo angani lkn bila kushikiliwa kimeendelea kwa miaka yote hii. Tunaamini tabiri za Mungu zote zilitokea exactly alivyotabiri hakuwahi kukosea (Mungu hakosei)

japo kwa uchache.
 
Back
Top Bottom