Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Kwa biology yangu ya form 2 mkondo B.Hivi kwa nini aliamua tundu mbili za pua zetu zielekee chini wakati tumesimama huku akijua kabisa chini kuna vumbi na kwa 'bouyancy rule' hewa inayopanda inaweza kuingiza vumbi hilo kwenye pua? (Hapa si kosoi uumbaji hata kidogo, na mimi nakubaliana na Humble African kuwa Mungu ni fundi sanifu mzuri kuliko kila kitu kuwahi kuwepo). Hili ni swali la udadisi tu...! Hivyo intel walioitwa hapa nisadie nielewe hili katika 'engineering design perspective' ama namna nyingine inayofaa bila kuhoji Uwezo wa Mungu.
Mule ndani ya pua katengeneza vinyweleo vya aina zaidi ya 10 vyenye uwezo wa ajabu wa kuchuja vumbi kwa ufanisi wa hali ya juu zaidi na haliwezi kufikia na kudhuru ubongo. Huu ni ushindi mkubwa maana alijua vumbi litamsumbua binadamu.
He is still the best designer ever.