TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ha ha haa aa! Kweli, bora vumbi kuliko maji kuingia puani. Ila usisahau kuna watu wanapiga mbizi majini tena wakiwa chali na kifudifudi ha ha haaMvua ikinyesha au ukioga huoni maji yatazama puani kama shimoni? [emoji23]
When did sin came on earthEvery thing imperfect came after sin not before sin. You can only understand HIM through scriptures ONLY SCRIPTURES
Ongea na Mungu kwenye sala na maombi yako.Mkuu ivi Mungu anaitaji asihojike ndo awe Mungu yani watu msijiulize ndo anakuwa Mungu kwa iyo Mungu akihojika uyo si Mungu aseeeh very interested story
Kwamba Mungu anaitaji asihojike asifikiriwe asiulizwe ndo anakuwa Mungu and vice versa is true
AminaSuala la Mungu ni la kiimani.Ama uchague kuamini uwepo wake ama uchague kuamini vitu unavyopenda wewe.
Ukianza kuhoji masuala ya Mungu utaishia kuchanganyikiwa kama Kiranga.Mungu alikuwepo kabla yako na ata ukifa ataendelea kuwepo.
Satan started it through its rebellion, And through Adam and Eve sin entered the world. We all know where and how sin started, we don know when it started. We no longer perfect creatures EVER SINCE.When did sin came on earth
Hivi kwanini wakristo wengi wamekuwa wakitenganisha dini na Mungu,yani wanaona dini haina msaada wowote na husema Mungu hana dini?Kana kumbuka "God has no religion" the issue is to believe on its existence only.
Sio biblia tu hata ukisoma Quran au Shinto holy book zina mianya mingi wanayoitumia akina kiranga kugaragazia watu.
Be God centred-person and not religious oriented.
The truth is God exist.
Ngoja nikavute ikikolea kichwani nitarudi na kuuchangia Uzi huuKiimani na hata mahala pengi tu utawasikia Watu wakisema kwamba Mwenyezi Mungu hakosei, hajakosea na kwamba huwa hakosei na wengi wetu ama Kiuwoga au ' Kimbumbumbu ' tu au kwa kuwa wa ' hovyo hovyo ' katika Kufikiri tayari tumeshaaminishwa hivyo.
Sawa kama kweli Mungu hakosei sasa inakuwaje kila mara huwa tunaisikia hii Kauli ambayo nainukuu hapa " Hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, Mwezi au Dunia hii ". Je hapa tushike lipi au tuelewe lipi?
Na kama Wote tunakiri kwamba Mwenyezi Mungu hakosei katika ' Uumbaji ' wake na Sisi Wanadamu ni mfano wake tosha iweje tena leo tunasema hadi kwa msisitizo kabisa kwamba Binadamu wote hatujakamilika?
Tujadili na Karibuni katika huu ' mjadala ' ambao nawahitaji tu wale ambao wamebarikiwa Critical Thinkig na Logical Reasing ya kutosha wachangie na nimetahadharisha mapema tu katika ' Headline ' kama unajijua au kujihisi huna huo uwezo tafadhali tusichoshane na pita zako tu mia.
Nawasilisha.
Ok, sasa umeshapata mwongozo wa kujua hakuna Binadamu aliyekamilika, je unakubali kwamba MUNGU hakosei?Unataka kum challenge Mungu? unashindwa kuli challenge jiwe linavyoboronga na kufukarisha watu unakuja mbio kum challenge Mungu?
Naona wewe umechangia ki critical thinkerMungu ametuumba kwa ukamilifu mkuu wa kimaumbile mapungufu ya mwanadamu yanatokana na ubinadamu wake.
Mungu ametupa hekima kuu kupita viumbe vyote, mwanadamu ajua jema na baya pasipo kufunzwa, ila yeye hutenda maovu kwa kiburi na jeuri ilhali akijua matokeo yake yalivyo.
Mkamilifu ni Mungu pekee kwa maana yeye hutenda kwa haki na kwa upendo mkuu jambo ambalo mwanadamu haliwezi, nalo ndilo lampunguzia ukamilifu mwanadamu aliye kiumbe cha Mungu.
Kutokukamilika kwa mwanadamu kunadhihirika kupitia maovu anayotenda na si kwa maumbile. Tunaposema binadamu hajakamilika tunazungumzia mapungufu kupitia matendo yake na si vinginevyo.