Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla.
Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya tukapata vyote ?
Watanzania kwetu muhimu ni katiba Mpya kwa sasa ,Wanasiasa kwao awe CCM au CHADEMA ni mfumo unamfanya apate cheo au madaraka uwe mbovu au mzuri yeye kwake sawa .