Kama uchaguzi Oktoba 2025 ukipelekwa 2027 , kipi bora Reforms za uchaguzi au Rais Mama Samia atupe katiba Mpya ?

Naona possibly ya Uchaguzi kusogezwa mbele siku chache ili vyama viweze kuongea.
Lakini hiyo itakuwa wakati ambao Bunge halipo. Itakuwa ni Rais Samia tu Ikulu na Mahakama.
 
Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla.

Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya tukapata vyote ?

Watanzania kwetu muhimu ni katiba Mpya kwa sasa ,Wanasiasa kwao awe CCM au CHADEMA ni mfumo unamfanya apate cheo au madaraka uwe mbovu au mzuri yeye kwake sawa .

​
Kwa usalama wa raia na dola atupe katiba huru tufanye uchaguzi huru na haki.

Ile tume ya uchaguzi ya Nape isije kuongeza majeraha
 
Samia akisema leo anataka kutupa katiba mpya na amaanishe kwa dhati kuwa kweli anaileta, hapo nitaweka pembeni mambo ya kudai mabadiliko ya katiba ya sasa ili kuleta tume huru ya uchaguzi na badala yake nitamuunga mkono Samia ili akamilishe katiba mpya!. Niko tayari aendelee kukaa madarakani kwa miaka mingine mpaka alete Katiba mpya!.

Katiba mpya ni kitu kikubwa sana kulinganisha na minimum reforms wanazodai CHADEMA
Kikubwa No reform no election
 
Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla.

Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya tukapata vyote ?

Watanzania kwetu muhimu ni katiba Mpya kwa sasa ,Wanasiasa kwao awe CCM au CHADEMA ni mfumo unamfanya apate cheo au madaraka uwe mbovu au mzuri yeye kwake sawa .

​
Ndani ya Reform ndio kuna katiba yenyewe.

NoRnoE
 
REFORM ZA TUME ZA UCHAGUZI,

Hiyo ndo itasaidia tupate wawakilishi bora kabisa kwenye tume ya katiba
 
Katiba ndio msingi wa kila kitu.Hizi kelele zote zasasa zinazopigwa na chadema zinatokana na mapungufu ya katiba.Chadema wanawaza uchaguzi kwasababu hitaji lao ni maslahi yakisiasa nasio maslahi ya umma ndo maana wanalenga sana mabadiliko kwenye tume na uchaguzi.Maslahi ya umma yako kwenye katiba bora.Katiba italeta uwajibikaji na usimamiz bora kwenye afya,elimu,uchumi na utawala bora ambao ndio msingi wa maendeleo,italeta tume nzuri ya uchaguzi na mengineyo.Kubadilisha vipengele kadhaa kwenye tume ya uchaguzi ili mgawane madaraka bado haimhakikishii mwananchi wa kawaida kunufaika kwasababu hakuna mahali kokote mwananchi ataweza kuiwajibisha na kuisimamia serikali ambalo ndio hitaji la mwananchi bila kujali ni nani atakua kiongozi kwasababu tofauti ya wanasiasa wetu ni vyama tu ila akili ni zile zile.
 
Uko sahihi kabisa
 
Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla.

Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya tukapata vyote ?

Watanzania kwetu muhimu ni katiba Mpya kwa sasa ,Wanasiasa kwao awe CCM au CHADEMA ni mfumo unamfanya apate cheo au madaraka uwe mbovu au mzuri yeye kwake sawa .

​
Huna kazi ya kufanya mpk uje uandike uchafu humu
 
Katiba ni mkataba wa ajira unaotengenezwa na raia na unamuwajibisha Rais. Kusubiri Rais akupe katiba mpya si sahihi. Wananchi wanapaswa kudai mkataba wao mpya.
Sio kudai,kutaka itengenezwe,unajua kudai ina sound kama tunaomba kupewa ni sawa na kusema unaomba kufunguliwa mlango kwenye nyumba yako mwenyewe.
 
Kuleta katiba mpya ni jambo jema kwa taifa lakini samia hawezi kukubali maana akifanya hivyo hatakuwa raisi wa tanganyika. Nasema raisi wa tanganyika kwa sababu zanzibar wana raisi anaetawala kule. Kwa hiyo samia hawezi kukubali mabadiliko kwa sababu mabadiliko yanamaanisha samia asiwe raisi. Maana anajua kukiwa na tume huru hawezi kushinda kwenye uchaguzi.
Atoke zake hapa, nani anamtaka sasa? Achukue machawa yake wakakae huko Visiwani watawale milele. Kwanza huu muungano wenyewe ni takataka. Tukichora katiba mpya futilia mbali muungano,hawa wazanzibari wote wafungashe warudi huko visiwani hatutaki tena pua zao huku.
 
Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla.

Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya tukapata vyote ?

Watanzania kwetu muhimu ni katiba Mpya kwa sasa ,Wanasiasa kwao awe CCM au CHADEMA ni mfumo unamfanya apate cheo au madaraka uwe mbovu au mzuri yeye kwake sawa .

​
Aachie ngazi tanganyika yetu iwe huru
 
Back
Top Bottom