Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Nchi ipewe Mzalendo, Mtanganyika kama Warioba kwa miaka miwili au jeshi.Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla.
Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya tukapata vyote ?
Watanzania kwetu muhimu ni katiba Mpya kwa sasa ,Wanasiasa kwao awe CCM au CHADEMA ni mfumo unamfanya apate cheo au madaraka uwe mbovu au mzuri yeye kwake sawa .
Watawala wanawaza madaraka pekeeWazo lako ni zuri,ila siyo bora 2027 ni mbali sana huoni kama mwezi huu wa sita tunaweza kupata tume huru ya uchaguzi na mambo yakaenda vizuri?
Kutoka kutoka muda huu hadi October muda unatosha kabisa kuwapa miaka miwili zaidi ni kuzidi kutoa mwanya
Hakuna mwana ccm atae kubali kupewa nchi na samia let say 2030 halafu yy anze na hz two reform ili ccm ife kwenye mikono yake never tumekaa pale tunasubr ba hata upinzan uchukue nji ila sidhani ni 0.00% hawatoanza na reforms hzo for one decade hapo ndio mtapo jua watu wana malengo yao nyuma ya siasaChukua maneno yangu hilo kamwe halitakuja kufanyika may be baada ya miaka miamoja cha vizazi vijavyo lkn sio kwa vizazi hivi vya sasa tusiotambua tofauti ya A na B
Nyunyi c mnahitaji pombe na mademu na miziki out ya hapo sijui mnataka nnNchi ipewe Mzalendo, Mtanganyika kama Warioba kwa miaka miwili au jeshi.
Sio huyo mama yako muhuni, fisadi, muuaji. Hajui Watanganyika wanahitaji nini.
Sema wewe na wenzako mnahitaji vitu vya hovyo kama Simba,, Yanga, wasanii, scandals.Nyunyi c mnahitaji pombe na mademu na miziki out ya hapo sijui mnataka nn
Nani wa kumfunga paka kengele?Katiba ni mkataba wa ajira unaotengenezwa na raia na unamuwajibisha Rais. Kusubiri Rais akupe katiba mpya si sahihi. Wananchi wanapaswa kudai mkataba wao mpya.
Kila mtu kwa sasa anaangalia kwenda bungeni mambo ya katiba achana nayo .Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla.
Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya tukapata vyote ?
Watanzania kwetu muhimu ni katiba Mpya kwa sasa ,Wanasiasa kwao awe CCM au CHADEMA ni mfumo unamfanya apate cheo au madaraka uwe mbovu au mzuri yeye kwake sawa .