Pre GE2025 Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atashinda kwa 95%, Samia atakuwa nafasi ya nne.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata hiyo ya nne ataitafuta kwa tochi...labda wampigie wanafamilia wake wote maana nahisi kijijini kwake kizimkazi ataambulia kura toka kwa walinzi na wasaidizi wake.
Itabidi arudi kizimkazi kupika urojo wa nazi.

Bitozo, bila wizi wa kura hashindi 🤣🤣 labda ashinde njaa
 
Yehh!!😂😂😂
 
Bila wizi, bila nguvu ya polisi, bila ya kupiga kura double...bila msaada wa Walimu na Maafisa watendaji wa kata na vijiji, bila nguvu ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa CCM haiwezi kushinda kamwe ila najuchua ipo siku tutaelewana... CCM haiwezi kukaa madarakani milele
 

Bila wizi wa kura na figisu figisu 🤣🤣 kuna watu hawataamini macho yao 🤣 🤣
 
Hizo asilimia za Mbowe zimepandishwa kiaina.
Hizo Asilimia za ushindi wa Tundu Lissu ni makadirio tu ila zinaweza kupanda kuwa 99%.

Kiufupi Bila wizi wa kura na figisu figisu kwenye uchaguzi 🤣🤣 kuna watu hawataamini macho yao 🤣 🤣
 
Jamani chonde chonde vijana wakajiandikishe kupiga kura, wakati wa kumtoa ibilisi ni sasa.
Inabidi Tundu Lissu aweke msisitizo. Hapo, aje na kaulimbiu itakayotrend mitandaoni
Format ya
gusa,achia twende kwao

Jiandikishe, chagua Chadema, Twende ikulu
Jiandikishe, chagua Chadema, tushinde udiwani, ubunge na urais
 
Huu ni uhuni
 
Huu ni uhuni
Kijani wanategemea uhuni kushinda uchaguzi. Hata uchaguzi wa serikali za mitaa wametumia uhuni. Ila bila uhuni wao wa kuharibu uchaguzi na wizi kura, Tundu Lissu atashinda kwa 95%
 
Bado hesabu hazijatimia 0.5% imeenda wapi
 
Rafiki yangu umenichekesha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…