Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi arudi kizimkazi kupika urojo wa nazi.Hata hiyo ya nne ataitafuta kwa tochi...labda wampigie wanafamilia wake wote maana nahisi kijijini kwake kizimkazi ataambulia kura toka kwa walinzi na wasaidizi wake.
Yehh!!😂😂😂Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.
Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.
==================
Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.
Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
Kushinda kwenyewe njaa bila wizi haiwezi itamshinda tu hakika.Itabidi arudi kizimkazi kupika urojo wa nazi.
Bitozo, bila wizi wa kura hashindi 🤣🤣 labda ashinde njaa
Yehh!!😂😂😂
Bila wizi, bila nguvu ya polisi, bila ya kupiga kura double...bila msaada wa Walimu na Maafisa watendaji wa kata na vijiji, bila nguvu ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa CCM haiwezi kushinda kamwe ila najuchua ipo siku tutaelewana... CCM haiwezi kukaa madarakani milele
🤣🤣🤣🤣🤣UKitoa wasanii na askari na Tiss CCM haina tofauti na chama cha waalimu Tanzania
Hili liko wazi kabisa...Bila wizi wa kura na figisu figisu 🤣🤣 kuna watu hawataamini macho yao 🤣 🤣
Hizo Asilimia za ushindi wa Tundu Lissu ni makadirio tu ila zinaweza kupanda kuwa 99%.Hizo asilimia za Mbowe zimepandishwa kiaina.
Kiufupi ccm wajipange kwenye mbinu za kuiba kura na kufanya figisu. Ila bila wizi wa kura Tundu Lissu atakuwa rais kwa 95%Hili liko wazi kabisa...
Inabidi Tundu Lissu aweke msisitizo. Hapo, aje na kaulimbiu itakayotrend mitandaoniJamani chonde chonde vijana wakajiandikishe kupiga kura, wakati wa kumtoa ibilisi ni sasa.
Huu ni uhuniKama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.
Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.
==================
Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.
Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
Kijani wanategemea uhuni kushinda uchaguzi. Hata uchaguzi wa serikali za mitaa wametumia uhuni. Ila bila uhuni wao wa kuharibu uchaguzi na wizi kura, Tundu Lissu atashinda kwa 95%Huu ni uhuni
Bado hesabu hazijatimia 0.5% imeenda wapiKama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.
Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.
==================
Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.
Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
Hiyo 0.5% itabakia kwa vyama vingine vidogovidogoBado hesabu hazijatimia 0.5% imeenda wapi
Rafiki yangu umenichekesha sana.Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.