Pre GE2025 Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atashinda kwa 95%, Samia atakuwa nafasi ya nne.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uzuri Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, huwa Hana kawaida ya kuhangaika na mburura au nyumbu wasiojielewa....ambao pekee wanachojua ni kupayukapayuka tu basi. Ye ana mambo mengi ya kufanya na sio kwa ajili ya wananchi. Hawa nyumbu hawana kitu kingine zaidi ya kuwakatikia viuno mbowe na lissu basi......utapoteza muda kuwajibu nini' vijitu kama hivyo, acha vipayuke vikalale
 
Hata hiyo ya nne ataitafuta kwa tochi...labda wampigie wanafamilia wake wote maana nahisi kijijini kwake kizimkazi ataambulia kura toka kwa walinzi na wasaidizi wake.
Ndo jf ilipofikia, inasikitishaaa!!!
 
Sisiemu hawawezi kuondolewa kwenye sanduku la kura ,kwakuwa Mnyaturu amesema kwamba yeye ndiyo anafaa kwa siasa hizi za kiharakati ngoja tuone upatikanaji wa katiba mpya na falsafa ya no reform no election ila tambua hakuna mkate mgumu mbele ya chai ,Mwabukusi kapewa gari na seikali katulia kimya.
 
Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kutumia bunduki.
Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
UYO Lisu mnampamba kama ajawai kugombea urais akashindwa kama atagombea tena ujue hii mala2 Rais Samia akiwa na mzee JPM rip. Walimgalagaza uyo lisu wenu!!!! Lisu apambani na Rais Samia tu sio kweli anatakiwa apambane na CCM NK.. nguvu izo atakuwanazoAlisu
 
Jpm aliiba kura. Hapakuwa na uchaguzi ni uchafuzi
 
Muda utazungumza
 
🤣
Uchawa tu. Kama bitozo anajiamini asifanye figisu kwenye uchaguzi 🤣🤣 atakuwa wa mwisho kabisa kwenye uchaguzi 🤣🤣
 
Bakini na upunga wenu hivyohivyo
Nasikia ninyi machawa mnalipwa laki kwa siku. Mnalamba asali kweli kweli. Huyo bitozo wenu anabebwa na wizi wa kura. Bila ya wizi wa kura, kwenye uchaguzi anakuwa wa mwisho kabisa 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…