TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kama unaitakia mema nchi, huwezi kumpa Urais Lissu.Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaitakia mema nchi, huwezi kumpa Urais Lissu.Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%.
Ndo jf ilipofikia, inasikitishaaa!!!Hata hiyo ya nne ataitafuta kwa tochi...labda wampigie wanafamilia wake wote maana nahisi kijijini kwake kizimkazi ataambulia kura toka kwa walinzi na wasaidizi wake.
Sisiemu hawawezi kuondolewa kwenye sanduku la kura ,kwakuwa Mnyaturu amesema kwamba yeye ndiyo anafaa kwa siasa hizi za kiharakati ngoja tuone upatikanaji wa katiba mpya na falsafa ya no reform no election ila tambua hakuna mkate mgumu mbele ya chai ,Mwabukusi kapewa gari na seikali katulia kimya.Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.
Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.
==================
Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.
Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
UYO Lisu mnampamba kama ajawai kugombea urais akashindwa kama atagombea tena ujue hii mala2 Rais Samia akiwa na mzee JPM rip. Walimgalagaza uyo lisu wenu!!!! Lisu apambani na Rais Samia tu sio kweli anatakiwa apambane na CCM NK.. nguvu izo atakuwanazoAlisuEndapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kutumia bunduki.
Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
🤣Nasikia presha yake imepanda,wamempumzisha hapo mzena
Jpm aliiba kura. Hapakuwa na uchaguzi ni uchafuziUYO Lisu mnampamba kama ajawai kugombea urais akashindwa kama atagombea tena ujue hii mala2 Rais Samia akiwa na mzee JPM rip. Walimgalagaza uyo lisu wenu!!!! Lisu apambani na Rais Samia tu sio kweli anatakiwa apambane na CCM NK.. nguvu izo atakuwanazoAlisu
Muda utazungumzaSisiemu hawawezi kuondolewa kwenye sanduku la kura ,kwakuwa Mnyaturu amesema kwamba yeye ndiyo anafaa kwa siasa hizi za kiharakati ngoja tuone upatikanaji wa katiba mpya na falsafa ya no reform no election ila tambua hakuna mkate mgumu mbele ya chai ,Mwabukusi kapewa gari na seikali katulia kimya.
Kama unaitakia mema nchi, huwezi kumpa urais Bitozo.Kama unaitakia mema nchi, huwezi kumpa Urais Lissu.
Noma sana 🤣Duh aiseee
🤣Uzuri Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, huwa Hana kawaida ya kuhangaika na mburura au nyumbu wasiojielewa....ambao pekee wanachojua ni kupayukapayuka tu basi. Ye ana mambo mengi ya kufanya na sio kwa ajili ya wananchi. Hawa nyumbu hawana kitu kingine zaidi ya kuwakatikia viuno mbowe na lissu basi......utapoteza muda kuwajibu nini' vijitu kama hivyo, acha vipayuke vikalale
Bakini na upunga wenu hivyohivyo🤣
Uchawa tu. Kama bitozo anajiamini asifanye figisu kwenye uchaguzi 🤣🤣 atakuwa wa mwisho kabisa kwenye uchaguzi 🤣🤣
Noma kiroboto Mwasi KitokoBitozo anapumulia kwenye kopo.
Mwaka huu watumishi tutajaziwa mihela mpaka tuchoke na kura tunampa Lissu
Nasikia ninyi machawa mnalipwa laki kwa siku. Mnalamba asali kweli kweli. Huyo bitozo wenu anabebwa na wizi wa kura. Bila ya wizi wa kura, kwenye uchaguzi anakuwa wa mwisho kabisa 🤣Bakini na upunga wenu hivyohivyo
Endelea kuota 'kamanda'Nasikia ninyi machawa mnalipwa laki kwa siku. Mnalamba asali kweli kweli. Huyo bitozo wenu anabebwa na wizi wa kura. Bila ya wizi wa kura, kwenye uchaguzi anakuwa wa mwisho kabisa 🤣
Bila wizi wa kura, bitozo ni wa mwishoEndelea kuota 'kamanda'
Bitozo bila wizi wa kura kwenye uchaguzi, atashika mkia 🤣🤣Rafiki yangu umenichekesha sana.
BRAZA CHOGO kwa nini uliitupa hii Identity yako kwa kapu kiasi cha kuto-qualify kuitwa expert member.Nikisoma thread ya hv najskia aman mpaka najhsi k\/jamba kbsa. daaah