Pre GE2025 Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atashinda kwa 95%, Samia atakuwa nafasi ya nne.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jina Lako halidanganyi, chagueni majina mazuri. Halafu achana na hizo pombe unazotumia
 
Nwabukusi kapewa gari na seikali katulia kimya.
Lile gari liko bugged.

Hapaswi kutumia lile gari.

Unapewaje gari, na dereva, na mafundi, na wewe unapanda kichwa kichwa, kitu umepewa na ma mafia ambao tumeshaona wamaweza mpaka kumua mwenyekiti wa chama wa mkoa wa chama cha upinzani ???

Every two days gari linarudi kwao kujazwa mafuta na wewe unapanda.... duuu!

Hata Makonda, mtu wao wenyewe, alisema majuzi Arusha kwamba yule dereva, mlinzi, karani unaepewa ni nyoka, anakulinda na lakini pia anaku watch at the same time! Sembuse wewe adui yao.
 
Ukiwa na akili timamu huwezi mpa kura mtu kama Lisu ila kama wewe ni maskini huna hela huyo ndio mtu wenu Sasa mtalishwa maneno baada ya miaka 5 Mko hoi kiuchumi kama mlivyokuwa na Rais wa wanyonge.

Mwisho hata uchaguzi asimamie Trump,Kibaraka Lisu hawezi shida
 
Acha kujichekesha! Ina maana hata CCM hawatamchagia mwenyekiti wao? Thubutu!
 
Mtu asiyejitambua ndio anaweza pigia kura kibaraka Lisu.

Mtu mwenye mipango ya Maendeleo na future automatically atachagua Samia.

Ila loosers na wengine wasiojielewa mpigieni Lisu.
 
Umetumia uhuru wako km uonavyo
 
Lissu akiwa mgombea uraisi, kila mpiga kura aende na wazo la mtu aliyepigwa risasi 26 na akapona. Alipona ili aikomboe Tz, kazi kwetu. Lissu hoyeeeee!
 
Kama unaitakia mema nchi, huwezi kumpa Urais Lissu.

Wewe unaangalia kibinadamu lakini Mwenyezi Mungu akiamua lake huwa.
Alitakalo Mungu huwa bila kujali chochote.
Daudi alipoenda kupakwa mafuta kuwa Mfalme hakuna mwanadamu ambae aliweza kuzani ingewezekana.
Mungu haamgalii kama angaaliavyo binadamu , maana binadamu Huang akia kwa nje bali Mungu huangalia moyo na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…