Pre GE2025 Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atashinda kwa 95%, Samia atakuwa nafasi ya nne.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mmeanza kumpa.majabo jambo Rais aliyerithishwa kiti cha Urais!

GOD BLESS TANGANYIKA
 
hizo propaganda zimefeli kitambo Lisu ndo anastahili haswa kuliko huyo kizimkazi
Antipasu yupo Shallow morally kijamii, kizalendo, na kiuchumi na Hata kiteknolojia...!!! Kama una Nia mbaya na nchi yetu waweza kuambatana naye, maana ni hiari yako. Lakini, hamtaweza kuiangamiza Tanzania.
 
Ogopa wana mtandao, utadanganyika ukidhani wewe ndio babu kubwa bila ya kufahamu kuwa 80% ya wapiga kura ni wana diaspora na wengine ni wasomi fulani wasioshiriki kupiga kura.
 
Bitozo hata mbeleko saba hazimbebi...nitapiga kura yangu kwa lisu.
 
Hadithi yako inatufundisha nini?
 
Una utani labda wapinzani waungane wote kisha washinde kwa 51/48%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…