Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Mmeanza kumpa.majabo jambo Rais aliyerithishwa kiti cha Urais!Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.
Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.
==================
Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.
Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
GOD BLESS TANGANYIKA