Pre GE2025 Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atashinda kwa 95%, Samia atakuwa nafasi ya nne.

Pre GE2025 Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atashinda kwa 95%, Samia atakuwa nafasi ya nne.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Akilindogosana

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
4,303
Reaction score
12,679
Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno wana maisha magumu sana, vijana wengi mno hawana ajira miaka inakwenda hawana maisha kabisa. Mtu mwenye maisha magumu na asiyekuwa na ajira hawezi kupanga foleni kwenda kumchagua bitozo. Mamilioni ya kura yataenda kwa Tundu Lissu.



Ila kama kawaida yao, wataiba kura watashinda. Watatumia mbinu ya: Gusa, achia, tukaibe kura.



==================

Endapo hapatakuwa na wizi wa kura na uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila figisu figisu, bila kukata majina ya wagombea, bila kujaza kura feki, bila kutumia bunduki.

Msimamo wa matokeo ya urais yatakuwa hivi:
1. Tundu Lissu-95%
2. Act wazalendo -2%
3. Mzee wa ubwawa -1.5%
4. Bitozo-1%
 
Kila jambo lina mwisho wake . Huo udokozi wao hautasimama mwaka huu
Fanya maombi Mungu azuie wasiibe kura. Pia fanya maombi Mungu azuie au kuwabadilisha watu ndani ya tume ya uchaguzi na vyombo vya ulinzi na usalama (jeshi,polisi, usalama) wakatae kutumika kuiba kura.





Zaidi ya hapo wataiba kura, watashinda kama kawaida.


Labda Mungu atende miujiza.


Bila wizi wa kura Tundu lissu 95%
 
Back
Top Bottom