PreGE2025 Kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Makonda hatoboi Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

TheMaster

Member
Joined
Aug 10, 2023
Posts
63
Reaction score
136
Kuna fukuto kati ya makonda na Gambo kugombea Ubunge jimbo la Arusha mjini, maneno na maoni ya wananchi na wanachama muhimu wa CCM yamekuwa mshale mkali dhidi ya makonda.

Nimezunguka kutaka kufahamu maoni ya wanachama waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha kuhusu mkuu wao wa Mkoa na hamu yake ya kutaka kugombea Ubunge jimboni; Watu wengi hawafurahishwi kabisa na kijana huyu wa kisukuma ambae hata miaka mitano hajafikisha mkoani hapo.

Watu wa Arusha wamenyooka saana, hawapendi siasa za kinafiki na za Kukandamizana.

Kiasili Gambo anakubalika ndani ya CCM kwakuwa ni kijana walomlea Arusha, lakini mstaarabu na sio mropokaji.

Hata hivyo akiwa mkuu wa mkoa amefanya mambo yanayoonekana mkoa wa Arusha hasahasa sehemu zilizoko watu wasikini kama Murieti, Dampo, Uswahilini, Unga ltd, Ngarenaro, Sombetini, Morombo, Intel nk.

Kiufupi Makonda hapendwi kabisa hata na wafanyabiashara, kwasababu shughuli zake nyingi za kisiasa zimekuwa mwiba kwa wafanyabiashara wa maeneo ya mijini.

Kufunga barabara, kuongeza foleni za magari kusiko sababu, kuzuia baadhi ya vituo vya mafuta kufanya kazi, maduka kufungwa nk. Hivi vimekuwa vikimpunguzia uhalali wa kuwa muwakilishi wa kero za wananchi bungeni kwani yeye mwenyewe MAKONDA ni kero

Makonda afikirie kugombea jimbo la usukumani na sio Arusha. Kwasababu kama MAKONDA ATARUSHA KETE YA KUGOMBEA UBUNGE NA KUOMBA RIDHAA JIMBONI NA UCHAGUZI NDANI YA JIMBO UTAKUWA HURU NA HAKI, MAKONDA HATOBOI
 
Huyo Makonda naomba atandikwe za uso, Kwa dhulma aliyofanya lazima atakataliwa duniani na mbinguni
Pamoja na ukabila ni mwiko nchini, ila mzawa ni muhimu kwa nafasi ya udiwani, ubunge, sio U-DC &U-RC , wenzetu wako mbele zaidi uwezi pata udiwani, ubunge wa bara huko Zenj. Sasa huyu Makonda kwao wapi?
 
Naona mnajipanga kuleta ukabila hapa, Arusha hatutaki ukabila!! Tunahitaji mtu wa kutuletea maendeleo siyo majungu!! Arusha ni jiji lenye watu wengi wa kila kabila!! Hatuchagui kabila hapa!!

Ingekuwa tunachagua kwa kuangalia ukabila basi hata Gambo asingepata huo ubunge!! Kama ni kampeni za kwenye mtandao acheni kuendekeza ukabila. Sisi wote ni watanzania!! Taifa moja!!
 
Kuna fukuto kati ya makonda na Gambo kugombea Ubunge jimbo la Arusha mjini, maneno na maoni ya wananchi na wanachama muhimu wa CCM yamekuwa mshale mkali dhidi ya makonda.

Nimezunguka kutaka kufahamu maoni ya wanachama waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha kuhusu mkuu wao wa Mkoa na hamu yake ya kutaka kugombea Ubunge jimboni; Watu wengi hawafurahishwi kabisa na kijana huyu wa kisukuma ambae hata miaka mitano hajafikisha mkoani hapo.

Watu wa Arusha wamenyooka saana, hawapendi siasa za kinafiki na za Kukandamizana.

Kiasili Gambo anakubalika ndani ya CCM kwakuwa ni kijana walomlea Arusha, lakini mstaarabu na sio mropokaji.

Hata hivyo akiwa mkuu wa mkoa amefanya mambo yanayoonekana mkoa wa Arusha hasahasa sehemu zilizoko watu wasikini kama Murieti, Dampo, Uswahilini, Unga ltd, Ngarenaro, Sombetini, Morombo, Intel nk.

Kiufupi Makonda hapendwi kabisa hata na wafanyabiashara, kwasababu shughuli zake nyingi za kisiasa zimekuwa mwiba kwa wafanyabiashara wa maeneo ya mijini.

Kufunga barabara, kuongeza foleni za magari kusiko sababu, kuzuia baadhi ya vituo vya mafuta kufanya kazi, maduka kufungwa nk. Hivi vimekuwa vikimpunguzia uhalali wa kuwa muwakilishi wa kero za wananchi bungeni kwani yeye mwenyewe MAKONDA ni kero

Makonda afikirie kugombea jimbo la usukumani na sio Arusha. Kwasababu kama MAKONDA ATARUSHA KETE YA KUGOMBEA UBUNGE NA KUOMBA RIDHAA JIMBONI NA UCHAGUZI NDANI YA JIMBO UTAKUWA HURU NA HAKI, MAKONDA HATOBOI
Makonda akigombea Arusha nitaamini kweli ni zero brain.
Haeleweki hata anataka kuwa wapi badala ya kurudi kwao alikotokea, Anataka kugombea sehemu ambayo tayari ana maadui wengi.
 
Makonda alipendwa kwasababu alionekana mfuasi wa magufuli

Ila toka awekwe mfukoni na waarabu waliopewa ngorongoro amepoteza mvuto
 
Naona mnajipanga kuleta ukabila hapa, Arusha hatutaki ukabila!! Tunahitaji mtu wa kutuletea maendeleo siyo majungu!! Arusha ni jiji lenye watu wengi wa kila kabila!! Hatuchagui kabila hapa!!

Ingekuwa tunachagua kwa kuangalia ukabila basi hata Gambo asingepata huo ubunge!! Kama ni kampeni za kwenye mtandao acheni kuendekeza ukabila. Sisi wote ni watanzania!! Taifa moja!!
Wala sio ukabila ila ndo uhalisia wa vitu.
 
Kuna fukuto kati ya makonda na Gambo kugombea Ubunge jimbo la Arusha mjini, maneno na maoni ya wananchi na wanachama muhimu wa CCM yamekuwa mshale mkali dhidi ya makonda.

Nimezunguka kutaka kufahamu maoni ya wanachama waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha kuhusu mkuu wao wa Mkoa na hamu yake ya kutaka kugombea Ubunge jimboni; Watu wengi hawafurahishwi kabisa na kijana huyu wa kisukuma ambae hata miaka mitano hajafikisha mkoani hapo.

Watu wa Arusha wamenyooka saana, hawapendi siasa za kinafiki na za Kukandamizana.

Kiasili Gambo anakubalika ndani ya CCM kwakuwa ni kijana walomlea Arusha, lakini mstaarabu na sio mropokaji.

Hata hivyo akiwa mkuu wa mkoa amefanya mambo yanayoonekana mkoa wa Arusha hasahasa sehemu zilizoko watu wasikini kama Murieti, Dampo, Uswahilini, Unga ltd, Ngarenaro, Sombetini, Morombo, Intel nk.

Kiufupi Makonda hapendwi kabisa hata na wafanyabiashara, kwasababu shughuli zake nyingi za kisiasa zimekuwa mwiba kwa wafanyabiashara wa maeneo ya mijini.

Kufunga barabara, kuongeza foleni za magari kusiko sababu, kuzuia baadhi ya vituo vya mafuta kufanya kazi, maduka kufungwa nk. Hivi vimekuwa vikimpunguzia uhalali wa kuwa muwakilishi wa kero za wananchi bungeni kwani yeye mwenyewe MAKONDA ni kero

Makonda afikirie kugombea jimbo la usukumani na sio Arusha. Kwasababu kama MAKONDA ATARUSHA KETE YA KUGOMBEA UBUNGE NA KUOMBA RIDHAA JIMBONI NA UCHAGUZI NDANI YA JIMBO UTAKUWA HURU NA HAKI, MAKONDA HATOBOI
Paul Makonda akiamua kuhamia Chadema na akataka kugombea uenyekiti bado ana uwezekano wa kushinda
 
Uhalisia upi wa ukabila ??
Makonda anaweza kugombea popote, Ila kwa Arusha naona sio vizuri kwake. Jamii ya Arusha anaona kama inamkubali ila akiwa Mbunge na migogoro hii iliyopo sasa hatoboi na anaweza kupoteza kila kitu na jamii ikamuona wa hovyo tu.
Akienda Mwanza katika jimbo moja wapo atapata support kubwa ya jamii yake na serkali itamuona anawajibika na jamii anayotoka na itamtumia vizuri kama Asset.
 
Arusha na Morogoro hazina Wazawa yoyote anaweza kuwa mbunge 🐼
Siyo kwamba Arusha haina wazawa wanaoweza kuwa Wabunge, tumeweka ukabila mbali na kuchagua Utaifa kwanza. Arusha ni jiji kubwa lenye makabila ya kutoka sehemu zote Tanzania. Arusha haiendekezi ujinga kama sehemu nyingine. Na ndo maana ni kati ya majiji yanayokuwa kwa kasi Tanzania. Tunachohotaji wana Arusha ni maendeleo na si ukabila!
 
Ningemshauri abaki na Ukuu wa mkoa, ingawa nafahamu akigombea ubunge kwake ni sekunde tu ameukwaa, (Tunapimia viatu /suite)
 
Kuna fukuto kati ya makonda na Gambo kugombea Ubunge jimbo la Arusha mjini, maneno na maoni ya wananchi na wanachama muhimu wa CCM yamekuwa mshale mkali dhidi ya makonda.

Nimezunguka kutaka kufahamu maoni ya wanachama waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha kuhusu mkuu wao wa Mkoa na hamu yake ya kutaka kugombea Ubunge jimboni; Watu wengi hawafurahishwi kabisa na kijana huyu wa kisukuma ambae hata miaka mitano hajafikisha mkoani hapo.

Watu wa Arusha wamenyooka saana, hawapendi siasa za kinafiki na za Kukandamizana.

Kiasili Gambo anakubalika ndani ya CCM kwakuwa ni kijana walomlea Arusha, lakini mstaarabu na sio mropokaji.

Hata hivyo akiwa mkuu wa mkoa amefanya mambo yanayoonekana mkoa wa Arusha hasahasa sehemu zilizoko watu wasikini kama Murieti, Dampo, Uswahilini, Unga ltd, Ngarenaro, Sombetini, Morombo, Intel nk.

Kiufupi Makonda hapendwi kabisa hata na wafanyabiashara, kwasababu shughuli zake nyingi za kisiasa zimekuwa mwiba kwa wafanyabiashara wa maeneo ya mijini.

Kufunga barabara, kuongeza foleni za magari kusiko sababu, kuzuia baadhi ya vituo vya mafuta kufanya kazi, maduka kufungwa nk. Hivi vimekuwa vikimpunguzia uhalali wa kuwa muwakilishi wa kero za wananchi bungeni kwani yeye mwenyewe MAKONDA ni kero

Makonda afikirie kugombea jimbo la usukumani na sio Arusha. Kwasababu kama MAKONDA ATARUSHA KETE YA KUGOMBEA UBUNGE NA KUOMBA RIDHAA JIMBONI NA UCHAGUZI NDANI YA JIMBO UTAKUWA HURU NA HAKI, MAKONDA HATOBOI
We Gambo acha zako!...... We mwenyewe mtoto wa Ilala mchikichini, ukabila hauna nafasi tz,.
 
Siyo kwamba Arusha haina wazawa wanaoweza kuwa Wabunge, tumeweka ukabila mbali na kuchagua Utaifa kwanza. Arusha ni jiji kubwa lenye makabila ya kutoka sehemu zote Tanzania. Arusha haiendekezi ujinga kama sehemu nyingine. Na ndo maana ni kati ya majiji yanayokuwa kwa kasi Tanzania. Tunachohotaji wana Arusha ni maendeleo na si ukabila!
Arusha hakuna Watu wenye uwezo wa kuwakilisha wengine ndio sababu Siku zote wabunge ni wageni tu 🐼
 
Back
Top Bottom