PreGE2025 Kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Makonda hatoboi Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Naona mnajipanga kuleta ukabila hapa, Arusha hatutaki ukabila!! Tunahitaji mtu wa kutuletea maendeleo siyo majungu!! Arusha ni jiji lenye watu wengi wa kila kabila!! Hatuchagui kabila hapa!!

Ingekuwa tunachagua kwa kuangalia ukabila basi hata Gambo asingepata huo ubunge!! Kama ni kampeni za kwenye mtandao acheni kuendekeza ukabila. Sisi wote ni watanzania!! Taifa moja!!
Kagombee udiwani Zenj, hakuna ukabila kwenye uzawa, ukipenda Arusha ishi ila usijifanye kwenu, maendeleo hata wazawa wataleta!
 
Si aende kwa ndugulile kule kigamboni.
 
Naona mnajipanga kuleta ukabila hapa, Arusha hatutaki ukabila!! Tunahitaji mtu wa kutuletea maendeleo siyo majungu!! Arusha ni jiji lenye watu wengi wa kila kabila!! Hatuchagui kabila hapa!!

Ingekuwa tunachagua kwa kuangalia ukabila basi hata Gambo asingepata huo ubunge!! Kama ni kampeni za kwenye mtandao acheni kuendekeza ukabila. Sisi wote ni watanzania!! Taifa moja!!
Nani kakudanganya Gambo alichaguliwa ?.
Wizi wa kura kupitia mungu wa Chato ndio ulimfanya mbunge si kura za wananchi.
 
Pamoja na ukabila ni mwiko nchini, ila mzawa ni muhimu kwa nafasi ya udiwani, ubunge, sio U-DC &U-RC , wenzetu wako mbele zaidi uwezi pata udiwani, ubunge wa bara huko Zenj. Sasa huyu Makonda kwao wapi?
Kwani Gambo ni mzaliwa wa Arusha?wacheni ukabila.Walishinda Makongoro Nyerere na Lema kwani ni wazaliwa wa Arusha?
 
Kuna fukuto kati ya makonda na Gambo kugombea Ubunge jimbo la Arusha mjini, maneno na maoni ya wananchi na wanachama muhimu wa CCM yamekuwa mshale mkali dhidi ya makonda.

Nimezunguka kutaka kufahamu maoni ya wanachama waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha kuhusu mkuu wao wa Mkoa na hamu yake ya kutaka kugombea Ubunge jimboni; Watu wengi hawafurahishwi kabisa na kijana huyu wa kisukuma ambae hata miaka mitano hajafikisha mkoani hapo.

Watu wa Arusha wamenyooka saana, hawapendi siasa za kinafiki na za Kukandamizana.

Kiasili Gambo anakubalika ndani ya CCM kwakuwa ni kijana walomlea Arusha, lakini mstaarabu na sio mropokaji.

Hata hivyo akiwa mkuu wa mkoa amefanya mambo yanayoonekana mkoa wa Arusha hasahasa sehemu zilizoko watu wasikini kama Murieti, Dampo, Uswahilini, Unga ltd, Ngarenaro, Sombetini, Morombo, Intel nk.

Kiufupi Makonda hapendwi kabisa hata na wafanyabiashara, kwasababu shughuli zake nyingi za kisiasa zimekuwa mwiba kwa wafanyabiashara wa maeneo ya mijini.

Kufunga barabara, kuongeza foleni za magari kusiko sababu, kuzuia baadhi ya vituo vya mafuta kufanya kazi, maduka kufungwa nk. Hivi vimekuwa vikimpunguzia uhalali wa kuwa muwakilishi wa kero za wananchi bungeni kwani yeye mwenyewe MAKONDA ni kero

Makonda afikirie kugombea jimbo la usukumani na sio Arusha. Kwasababu kama MAKONDA ATARUSHA KETE YA KUGOMBEA UBUNGE NA KUOMBA RIDHAA JIMBONI NA UCHAGUZI NDANI YA JIMBO UTAKUWA HURU NA HAKI, MAKONDA HATOBOI
Makonda anamiliki depo/ hiadhi za mafuta kule KIGAMBONI pesa amepata wapi ? Huyu ametoka kwao na kandambili leo utajiri huu kaupata wapi?
Ajibu kwanza hilo swali
 
Tuacheni utani,huwezi kufananisha hiyo takataka inayoitwa Gambo na Makonda,Makonda ana upepo na anakubalika kuliko hicho kituko
 
Kuna fukuto kati ya makonda na Gambo kugombea Ubunge jimbo la Arusha mjini, maneno na maoni ya wananchi na wanachama muhimu wa CCM yamekuwa mshale mkali dhidi ya makonda.

Nimezunguka kutaka kufahamu maoni ya wanachama waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha kuhusu mkuu wao wa Mkoa na hamu yake ya kutaka kugombea Ubunge jimboni; Watu wengi hawafurahishwi kabisa na kijana huyu wa kisukuma ambae hata miaka mitano hajafikisha mkoani hapo.

Watu wa Arusha wamenyooka saana, hawapendi siasa za kinafiki na za Kukandamizana.

Kiasili Gambo anakubalika ndani ya CCM kwakuwa ni kijana walomlea Arusha, lakini mstaarabu na sio mropokaji.

Hata hivyo akiwa mkuu wa mkoa amefanya mambo yanayoonekana mkoa wa Arusha hasahasa sehemu zilizoko watu wasikini kama Murieti, Dampo, Uswahilini, Unga ltd, Ngarenaro, Sombetini, Morombo, Intel nk.

Kiufupi Makonda hapendwi kabisa hata na wafanyabiashara, kwasababu shughuli zake nyingi za kisiasa zimekuwa mwiba kwa wafanyabiashara wa maeneo ya mijini.

Kufunga barabara, kuongeza foleni za magari kusiko sababu, kuzuia baadhi ya vituo vya mafuta kufanya kazi, maduka kufungwa nk. Hivi vimekuwa vikimpunguzia uhalali wa kuwa muwakilishi wa kero za wananchi bungeni kwani yeye mwenyewe MAKONDA ni kero

Makonda afikirie kugombea jimbo la usukumani na sio Arusha. Kwasababu kama MAKONDA ATARUSHA KETE YA KUGOMBEA UBUNGE NA KUOMBA RIDHAA JIMBONI NA UCHAGUZI NDANI YA JIMBO UTAKUWA HURU NA HAKI, MAKONDA HATOBOI
Acha wapambanie ugali wao
 
Makonda kama mamake tu.

No Reforms No Election
 
Kwani huyu Makonda, kwao halisi ni wapi? Alikozaliwa na kukulia?

Maana sielewi, au yeye kila eneo anataka kugombea? Mwaka 2020 aligombea kigamboni, japo alishindwa, ila sahivi kule kupo wazi, ndo rahisi kwake kuchanga karata.

Sasa huko Arusha kutaka vita na Gambo ina husu? Au ametumwa na wenyewe kumuharibia jamaa? Lol
 
Siyo kwamba Arusha haina wazawa wanaoweza kuwa Wabunge, tumeweka ukabila mbali na kuchagua Utaifa kwanza. Arusha ni jiji kubwa lenye makabila ya kutoka sehemu zote Tanzania. Arusha haiendekezi ujinga kama sehemu nyingine. Na ndo maana ni kati ya majiji yanayokuwa kwa kasi Tanzania. Tunachohotaji wana Arusha ni maendeleo na si ukabila!
Upo sahihi. Makongoro Nyerere alishawahi kuwa mbunge wa Arusha mwaka 1995.
 
Makonda is one of my favorite politician
We need people who can change tanzania
 
Back
Top Bottom