Who knows, maybe tayari kaandikaMakonda ni RC vipi yeye hatakiwi kuandika barua ya kuachia u RC ili agombee ubunge ?
Pamoja na ukabila ni mwiko nchini, ila mzawa ni muhimu kwa nafasi ya udiwani, ubunge, sio U-DC &U-RC , wenzetu wako mbele zaidi uwezi pata udiwani, ubunge wa bara huko Zenj. Sasa huyu Makonda kwao wapi?
Makonda akigombea Arusha nitaamini kweli ni zero brain.Kuna fukuto kati ya makonda na Gambo kugombea Ubunge jimbo la Arusha mjini, maneno na maoni ya wananchi na wanachama muhimu wa CCM yamekuwa mshale mkali dhidi ya makonda.
Nimezunguka kutaka kufahamu maoni ya wanachama waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha kuhusu mkuu wao wa Mkoa na hamu yake ya kutaka kugombea Ubunge jimboni; Watu wengi hawafurahishwi kabisa na kijana huyu wa kisukuma ambae hata miaka mitano hajafikisha mkoani hapo.
Watu wa Arusha wamenyooka saana, hawapendi siasa za kinafiki na za Kukandamizana.
Kiasili Gambo anakubalika ndani ya CCM kwakuwa ni kijana walomlea Arusha, lakini mstaarabu na sio mropokaji.
Hata hivyo akiwa mkuu wa mkoa amefanya mambo yanayoonekana mkoa wa Arusha hasahasa sehemu zilizoko watu wasikini kama Murieti, Dampo, Uswahilini, Unga ltd, Ngarenaro, Sombetini, Morombo, Intel nk.
Kiufupi Makonda hapendwi kabisa hata na wafanyabiashara, kwasababu shughuli zake nyingi za kisiasa zimekuwa mwiba kwa wafanyabiashara wa maeneo ya mijini.
Kufunga barabara, kuongeza foleni za magari kusiko sababu, kuzuia baadhi ya vituo vya mafuta kufanya kazi, maduka kufungwa nk. Hivi vimekuwa vikimpunguzia uhalali wa kuwa muwakilishi wa kero za wananchi bungeni kwani yeye mwenyewe MAKONDA ni kero
Makonda afikirie kugombea jimbo la usukumani na sio Arusha. Kwasababu kama MAKONDA ATARUSHA KETE YA KUGOMBEA UBUNGE NA KUOMBA RIDHAA JIMBONI NA UCHAGUZI NDANI YA JIMBO UTAKUWA HURU NA HAKI, MAKONDA HATOBOI
Wala sio ukabila ila ndo uhalisia wa vitu.Naona mnajipanga kuleta ukabila hapa, Arusha hatutaki ukabila!! Tunahitaji mtu wa kutuletea maendeleo siyo majungu!! Arusha ni jiji lenye watu wengi wa kila kabila!! Hatuchagui kabila hapa!!
Ingekuwa tunachagua kwa kuangalia ukabila basi hata Gambo asingepata huo ubunge!! Kama ni kampeni za kwenye mtandao acheni kuendekeza ukabila. Sisi wote ni watanzania!! Taifa moja!!
Paul Makonda akiamua kuhamia Chadema na akataka kugombea uenyekiti bado ana uwezekano wa kushindaKuna fukuto kati ya makonda na Gambo kugombea Ubunge jimbo la Arusha mjini, maneno na maoni ya wananchi na wanachama muhimu wa CCM yamekuwa mshale mkali dhidi ya makonda.
Nimezunguka kutaka kufahamu maoni ya wanachama waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha kuhusu mkuu wao wa Mkoa na hamu yake ya kutaka kugombea Ubunge jimboni; Watu wengi hawafurahishwi kabisa na kijana huyu wa kisukuma ambae hata miaka mitano hajafikisha mkoani hapo.
Watu wa Arusha wamenyooka saana, hawapendi siasa za kinafiki na za Kukandamizana.
Kiasili Gambo anakubalika ndani ya CCM kwakuwa ni kijana walomlea Arusha, lakini mstaarabu na sio mropokaji.
Hata hivyo akiwa mkuu wa mkoa amefanya mambo yanayoonekana mkoa wa Arusha hasahasa sehemu zilizoko watu wasikini kama Murieti, Dampo, Uswahilini, Unga ltd, Ngarenaro, Sombetini, Morombo, Intel nk.
Kiufupi Makonda hapendwi kabisa hata na wafanyabiashara, kwasababu shughuli zake nyingi za kisiasa zimekuwa mwiba kwa wafanyabiashara wa maeneo ya mijini.
Kufunga barabara, kuongeza foleni za magari kusiko sababu, kuzuia baadhi ya vituo vya mafuta kufanya kazi, maduka kufungwa nk. Hivi vimekuwa vikimpunguzia uhalali wa kuwa muwakilishi wa kero za wananchi bungeni kwani yeye mwenyewe MAKONDA ni kero
Makonda afikirie kugombea jimbo la usukumani na sio Arusha. Kwasababu kama MAKONDA ATARUSHA KETE YA KUGOMBEA UBUNGE NA KUOMBA RIDHAA JIMBONI NA UCHAGUZI NDANI YA JIMBO UTAKUWA HURU NA HAKI, MAKONDA HATOBOI
Arusha na Morogoro hazina Wazawa yoyote anaweza kuwa mbunge 🐼Kwani makonda hana kwao?, kama anajiona anafaa kugombea aende origin place yake akagombee!!.
Uhalisia upi wa ukabila ??Wala sio ukabila ila ndo uhalisia wa vitu.
Makonda anaweza kugombea popote, Ila kwa Arusha naona sio vizuri kwake. Jamii ya Arusha anaona kama inamkubali ila akiwa Mbunge na migogoro hii iliyopo sasa hatoboi na anaweza kupoteza kila kitu na jamii ikamuona wa hovyo tu.Uhalisia upi wa ukabila ??
Siyo kwamba Arusha haina wazawa wanaoweza kuwa Wabunge, tumeweka ukabila mbali na kuchagua Utaifa kwanza. Arusha ni jiji kubwa lenye makabila ya kutoka sehemu zote Tanzania. Arusha haiendekezi ujinga kama sehemu nyingine. Na ndo maana ni kati ya majiji yanayokuwa kwa kasi Tanzania. Tunachohotaji wana Arusha ni maendeleo na si ukabila!Arusha na Morogoro hazina Wazawa yoyote anaweza kuwa mbunge 🐼
We Gambo acha zako!...... We mwenyewe mtoto wa Ilala mchikichini, ukabila hauna nafasi tz,.Kuna fukuto kati ya makonda na Gambo kugombea Ubunge jimbo la Arusha mjini, maneno na maoni ya wananchi na wanachama muhimu wa CCM yamekuwa mshale mkali dhidi ya makonda.
Nimezunguka kutaka kufahamu maoni ya wanachama waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha kuhusu mkuu wao wa Mkoa na hamu yake ya kutaka kugombea Ubunge jimboni; Watu wengi hawafurahishwi kabisa na kijana huyu wa kisukuma ambae hata miaka mitano hajafikisha mkoani hapo.
Watu wa Arusha wamenyooka saana, hawapendi siasa za kinafiki na za Kukandamizana.
Kiasili Gambo anakubalika ndani ya CCM kwakuwa ni kijana walomlea Arusha, lakini mstaarabu na sio mropokaji.
Hata hivyo akiwa mkuu wa mkoa amefanya mambo yanayoonekana mkoa wa Arusha hasahasa sehemu zilizoko watu wasikini kama Murieti, Dampo, Uswahilini, Unga ltd, Ngarenaro, Sombetini, Morombo, Intel nk.
Kiufupi Makonda hapendwi kabisa hata na wafanyabiashara, kwasababu shughuli zake nyingi za kisiasa zimekuwa mwiba kwa wafanyabiashara wa maeneo ya mijini.
Kufunga barabara, kuongeza foleni za magari kusiko sababu, kuzuia baadhi ya vituo vya mafuta kufanya kazi, maduka kufungwa nk. Hivi vimekuwa vikimpunguzia uhalali wa kuwa muwakilishi wa kero za wananchi bungeni kwani yeye mwenyewe MAKONDA ni kero
Makonda afikirie kugombea jimbo la usukumani na sio Arusha. Kwasababu kama MAKONDA ATARUSHA KETE YA KUGOMBEA UBUNGE NA KUOMBA RIDHAA JIMBONI NA UCHAGUZI NDANI YA JIMBO UTAKUWA HURU NA HAKI, MAKONDA HATOBOI
Arusha hakuna Watu wenye uwezo wa kuwakilisha wengine ndio sababu Siku zote wabunge ni wageni tu 🐼Siyo kwamba Arusha haina wazawa wanaoweza kuwa Wabunge, tumeweka ukabila mbali na kuchagua Utaifa kwanza. Arusha ni jiji kubwa lenye makabila ya kutoka sehemu zote Tanzania. Arusha haiendekezi ujinga kama sehemu nyingine. Na ndo maana ni kati ya majiji yanayokuwa kwa kasi Tanzania. Tunachohotaji wana Arusha ni maendeleo na si ukabila!