PreGE2025 Kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Makonda hatoboi Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ninavyofahamu ni kwamba jimbo linatakiwa kugawanywa ili kupata majimbo mawili ndani jimbo la sasa na pia Rais karuhusu watumishi wa umma kigombea ubunge bila ulazima wa ku resign. Niko sawa?
 
Hakuna uchaguzi , mkuu mwakesha bure asema Bwana
 
Hawa wote ni mafisadi waliojivika shuka ya uongozi. Hakuna viongozi hapo!!
 
Makonda aachane na ubunge, anakumbuka alivyoangukia pua nyakati zile? (Wajumbe walimuangusha)
 
Hutaki ukabila wewe na nani??
 
Mkuu kapime tena upepo ! Gambo hatakiwi kabisa Arusha, miaka yake mitano ya ubunge hajafanya lolote lile,,, huyu kwenye kura za maoni tu huko chamani kwao wanamla kichwa,,,makonda ana Baraka za wakubwa, hajakurupuka ! Wacha tuone
 
Hutaki ukabila wewe na nani??
Watanzania wote wenye akili hawaingii kwenye ujinga wa ukabila, kama Makonda anaonekana anafaaa lwa Arusha atapewa, kama Gambo ameonekana kafanya mazuri atapewa bila kujali huyu ni msukuma, mmakonde, mmasai, mmchaga etc, siasa za ukabila zilishapitwa na wakati. Sisi wote ni Watanzania.
 
Wewe na nani??
 
NI REFORMS NO ELECTION
 
Akagombeee kwao huko usukumani.
 
Kwani Usukumani siyo Tanzania, acheni mambo ya hovyo ya kuendekeza siasa za maji taka, acha watu washindane kwa hoja, atakayeshinda achaguliwe.

Mbona kama mna hofu Makonda atamshinda Gambo?
Elewa tu hivyo. Hana uelewa wa arusha kwa undani zaidi. Na maswala ya ubunge unawaachia watu wa eneo husika. Over
 
Kabisa maana ht Gambo sio mzawa
Wote siwapendi Hawana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…